Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani yangu ni kuwa bila kuipunzisha ccm nchi haitapiga hatua
Duh Kazi kweli. Nimefedheheshwa sana, nimedhalilishwa na nimehuzunishwa sana kama ni kweli Mwalimu wangu ametamka hayo. Naamini ametamka tu kwa sabau kwa siku za karibuni tangu apewe U REDET amekuwa na kauli tata sana. Hata hicyo tuliofundishwa naye hatuaathirika na chochote kama yeye alivyosoma Chuo Kikubwa kama Manchester halafu anakuja kulamba miguu ya JK namna hiyo.Kama ni kweli alitamka hivyo na anamaanisha hivyo basi I'd question his credentials na hao anaowapiga lecture wawe makini.........ndio matatizo ya elimu za madesa na ku-cream!!
Duh Kazi kweli. Nimefedheheshwa sana, nimedhalilishwa na nimehuzunishwa sana kama ni kweli Mwalimu wangu ametamka hayo. Naamini ametamka tu kwa sabau kwa siku za karibuni tangu apewe U REDET amekuwa na kauli tata sana. Hata hicyo tuliofundishwa naye hatuaathirika na chochote kama yeye alivyosoma Chuo Kikubwa kama Manchester halafu anakuja kulamba miguu ya JK namna hiyo.
Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani yangu ni kuwa bila kuipunzisha ccm nchi haitapiga hatua
Bado tuansafari ndefu sana ya kufikia mageuzi ya kweli kama wasomi ndio kweli wanamka maneno hayo.