Bana ni ccm damu kabisa. Jambo moja amedhihirisha hivyo ni pale alipokataa kuwataja CDM kama moja ya visababishi vya msingi vilivyopelekea ccm kufanya mageuzi sasa na si wakati mwingine.<br />
Bila shaka amekuwa akitumika kufanya propaganda za kiutafiti ili kujaribu kubadili maoni ya watu kuhusu ccm.<br />
Ila jambo moja ni dhahiri anatambua nguvu iliyonayo CDM, na mshiko kwa jamii.
Hana uwezo wa kuwasaidia kwa maoni yake kwani hata yeye ameonyesha kwamba chama cha ccm kina udhaifu mkubwa hasa sehemu ya uongozi wa juu zaidi, mwenyekiti na cc, haina muono, malengo wala uwezo wa kutenda.