Dr. Bashiru alipuka, akerwa na Kauli za “Anaupiga mwingi”

Kwa sasa kauli ya anauliza mwingi inatumika kwa kejeli au dhihaka.
 
Nadhani baada ya kuona video umepata mtazamo mpya tofauti na huu[emoji1541]
Bashiru kwa ukubwa wake na akili zake hawezi kuwa too low kumkosoa Nambari moja. Wenye akili tunaomjua bashiru hizo sio zake kuropokaropoka.
Siasa haina rafiki wala adui wa kudumu. Ila ukweli si ndio huo unasifu wakati kodi ya duka kwa.mwaka ilikuwa 250000 sasa hivi 600000. Halafu wanapiga kelele vijana wajiajiri wakati mfumowa ukadiriaji kodi kwa startup hauko halisia.

Hakuna umeme wala maji, miradi yote imesimama, barabara zinajengwa kama mwendokasi haina viwango bado kina mwashambwa wanasifia anaupiga mwingi

Kama kuna kitu cha Monitoring and evaluation katika wahusika ni dhahiri kwamba wamechemsha na hawana dalili za kubadilika. Unatafuta pesa nyingi lakini control ndani ya uga huweki kuzuia pesa kudokolewa. Kila kiti unasema tutakifanyia kazi hizo ni lugha za utapeli. Majanga yanatokea wewe mpaka uunde tume wakati maisha ya watu yamepotea. Simama chukua maamuzi.

Kitu kimoja waheshimiwa hawajui kwamba dunia inapoelekea watu walishatoka kwenye utamaduni wa kupiteza muda na kusubiri watu washasubiri sana na wamechoka wanataka vitendo with imediate effect.

Willpower ya JPM hata ruto anatembelea ana solve matatizo on the spot sio kusubiri mpaka script iandaliwe atafutwe suitable character huki watu wanaumia. Issue ya maji angekuwepo hayati wale akina aweso mpaka makatibu wakuu angetumbua wote na dawasa angetumbua Luhemeja mpaka hr director. Huo ndio uongozi unaohitajika afrika. Usiwaletee watu story nyingi huku watu wanaumia.
 
Siasa haina rafiki wala adui wa kudumu. Ila ukweli si ndio huo unasifu wakati kodi ya duka kwa.mwaka ilikuwa 250000 sasa hivi 600000.
Boss Kama biashara ni huria na nzuri kodi ya duka inaweza fika juu sana. Kipindi cha Jk kuna maeneo kupata tu unatoa kilemba Tsh 800,000/=, hii sio kodi ni asante dalali kwa dili. Ukishafanya hivi unakutanishwa na mwenye nyumba naye anataka miezi isiyopungua 6, wakati mwingine wanakataa wanataka mwaka mzima ndo unapewa funguo.

Kufikia 2019 wenye nyumba wanakuomba ujishikize tu maana hakuna mkodishaji na maeneo yalikuwa wazi hakuna biashara, hakuna mpangishaji, mpaka 300,000 unaitiwa frem na dalali ulipe mwezi mwezi na wewe mpangaji unahisi utapoteza hela tu, biashara hazilipi. Bora uweke mzigo godown uwape machinga.
 
Ukiona video ya Bashiru utakuja kufuta hichi ulichoandika.
 
Kodi ya tra sio ya pango.
 
Reactions: Tsh
Mwambieni akae kwa kutulia. Huko ndio kutumia dola kubaki madarakani. Kile kiburi chake kilishakatwa kama ua la jangwani. Asuburi 2025 arudi kufundisha
 
Kwahiyo umesadiki kuwa gazeti halijasema uongo imebidi tu iwe “mwanasiasa hana rafiki wa kudumu” 😀
 
Je Bashiru angebakishwa serikalini angeweza kuongea hayo? Tena kwa hisia kali namna hiyo? Ni kweli amesahau kusifu na kuabudu kuliasisiwa kipindi cha mwanakwenda na wao wakiwa vinara kwenye hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…