DR. BASHIRU ALLY WAKULIMA WAMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHA WAMSIFIE ANAUPIGA MWINGI CHUKI YA NINI?
DR. BASHIRU ALLY Acha serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN ifanyekazi yake ya kuboresha Mazingira ya Kilimo nchini. Chuki, kinyongo na Uchochezi hauna nafasi acha wakulima wale matunda yao yaliyokandamizwa kwa muda mrefu.
Leo Rais SAMIA SULUHU HASSAN amekuja kuwapa nafuu wakulima kwa kutoa fedha nyingi za Ruzuku kwenye Mbolea, Kuwezesha wakulima kuuza Mazao yao kwa Bei Nzuri Nje na ndani ya Nchi, Sasa pembejeo za Kilimo zinafika kwa wakati kwa wakulima na kubwa Zaidi Kufuta Tozo KERO kwa wakulima, Leo tunaona mikakati ya kuimarisha Kilimo Cha umwagiliaji kwa kujenga mabwawa Makubwa kwa ajili ya umwagiliaji
Sasa huu Uzandiki, Chuki, Fitina, Uchochezi na ugombanishi wa Dr. BASHIRU ALLY ni kwa manufaa ya nani kama Sio kumgombanisha Mhe Rais na Wakulima nchini.
Dr. BASHIRU ALLY Acha wakulima wafurahie mema ya nchi wakati huu wa awamu ya 6 chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN.
Alikuwa hataki hata kumtaja Mungu,vanatusalimu Kwa Jina la ja....hu...ri. Saizi salami hiyo imefutika, na Leo alienda Kanisani Kwa kina JOHN BAPTIST Aombewe.
Mamamamamamae, eti kuna watu tayari wamefunga vibwebwe kumpongeza bashiru......kwamba akienda kwenye chama chao au akianzisha chama watampokea kwa mbwembwe kuu. Dah!!!! Kinachochekesha na kustaajabisha nchi hii ni kuona kuwa walio na usomi (km hawa humu jf ndo wasomi wenyewe) ndo mamburura ya kwanza.....hamna kitu kabsaaa!
Ktk maisha Kuna mtu kujitekenya mwenyewe na kucheka hv unamsifu vp mtu anayeanzisha tatizo kwa makusudi halafu mlango wa nyuma anasema amelitatua,kweli watanzania walio wengi Wana ELIMU ila hawana AKILI.