Dr Bashiru aonya kauli tata za makada wa CCM, ni zile za kuwatisha wapinzani!

Dr Bashiru aonya kauli tata za makada wa CCM, ni zile za kuwatisha wapinzani!

Katinu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally amewaonya makada wa CCM kuacha kutoa kauli tata kwenye hadhara na mitandaoni zinazoihusisha CCM na vitisho dhidi ya wapinzani.

Source: Mwananchi
Wauwaji wameshajianika "nyeti za kuku ziko hadharani baada ya kijiupepo..."
 
Kuonya haitoshi inatakiwa kuwe na matokeo ukifanya hivi utapata adhabu hii yaani consequences sijui kiswahili fasaha kwa kweli neno hili. Kauli mbaya zinazoleta hali ya kuhatarisha usalama ni lazima tuchukuwe hatua siasa ni mawazo tofauti hatuwezi kufanana tufanye siasa huku tukiheshimu mawazo mengine pia lakini kuyatolea hoja kuyapinga hakuna ugomvi.
 
CCM huko sasa hivi ni kuruka na kukanyagana. Yani huyu anaropoka hili, yule anasema vile kila mtu anaongea anavyoyaka na kujiskia
 
N
Katinu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally amewaonya makada wa CCM kuacha kutoa kauli tata kwenye hadhara na mitandaoni zinazoihusisha CCM na vitisho dhidi ya wapinzani.

Source: Mwananchi
Ndimi mbili kama Paco njaa
 
Huyu mzee kwake ni chuoni akaendeleze heshima yake ili huwezi ongoza wahuni kama wwe si muhuni,ili uongoze vilaza ni lazima uwe kilaza zaidi yao
 
Katinu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally amewaonya makada wa CCM kuacha kutoa kauli tata kwenye hadhara na mitandaoni zinazoihusisha CCM na vitisho dhidi ya wapinzani.

Source: Mwananchi
Mnapoambiwa na Marekani mnapanga mauaji ya Watanzania wenzenu mnamtuma kahaba wa kiume Msendo kuandika barua za kujikosha. Mwenyekiti wa UV CCM Taifa kaamuru vijana kuwadhuru Zitto na Mbowe popote watakapowaona iwe hotelini, sokoni au kwenye ndege.

Lakini kesho mtakuja kumtetea mpanga mauaji akiwekewa vikwazo na Uingereza ili asije akachoma watu visu ndani ya British Airways kwa kisingizio cha upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katinu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally amewaonya makada wa CCM kuacha kutoa kauli tata kwenye hadhara na mitandaoni zinazoihusisha CCM na vitisho dhidi ya wapinzani.

Source: Mwananchi
Awaambie polisi wachukue hatua stahili kwa sababu ni dhairi wanavunja sheria.
 
Hahaha shetani mkubwa anapowaonya shetani wadogo wasinyonye damu kwa kasi, kuhofia watakausha source.
 
Kwa vitendo viovu wanavotendewa wapinzani wa CCM chama kinachoongoza serikali ya nchi yetu, jee ni halali kwa TRA kuendelea kuwatoza kodi watu ambao inaonekana wanabaguliwa kwa kutokuwa kwao wana CCM?
 
Hahaha sio tu halali wao ndio hutozwa zaidi. CCM kuna vimemo na kubebana, ukijulikana mpinzani halafu unabiashara utakoma nchi hii. TRA utalala nao kitandani kwako.
 
Hahaha sio tu halali wao ndio hutozwa zaidi. CCM kuna vimemo na kubebana, ukijulikana mpinzani halafu unabiashara utakoma nchi hii. TRA utalala nao kitandani kwako.
Kama wanabaguliwa ni si bora TRA iachane na wapinzani wa CCM? Iwe mtu akienda TRA na kuonesha kadi ya chama kingine mbali ya CCM basi awe anasamehewa kodi.
 
Back
Top Bottom