Tetesi: Dr Bashiru kugombea udiwani kata ya Kanazi, Bukoba vijijini.

Tetesi: Dr Bashiru kugombea udiwani kata ya Kanazi, Bukoba vijijini.

Hiyo ni tetesi tu Kwa maana haina ukweli.huyo Kwa Sasa anafaidi mafao ya ukaribu mkuu kiongozi.
 
Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.


Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Bashiru asikilize ,tamko la Mwenyekiti Taifa Chadema , ajiunge Chadema , milango imefunguliwa
 
Kanazi mbona ipo Missenyi ukiwa unaenda Mutukula na sio Bukoba Vijijini?
Ukitoka Kata kemondo unaingia kata kanazi ukimaliza unaingia kata katerero .

Hiyo ni Bukoba vijijini.

Pia Bashiru Nyumba yake ilipojengwa ni kata Katerero hata hospatali ya wilaya aliforce ikajengwa Karibu na Nyumba yake wakati wa Mzee John .


Ila swal kugombea udiwani hii sifikirii Kama ameshafikia huku.


Japo Bashiru hakubaliki kwako na hapendwi Ila kugombea udiwani itakuwa jambo la kufikirisha Sana.

Nadhani hii acha ibaki tetesi tu.
 
Alianza kurudi dar na shabiby leo kutoka ubunge wa kuteuliwa up diwani ila sawa kwanza si ni mtu wa burundi wanasema
 
Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.


Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Iko hivi kwa chawa wote na watumwa wa kisii hasa,bora sana uwehuru kuliko kuwa chawa au mtumwa wa wanasiiihasaa.Kwani hata wanasiii hasaa hawajui mahitaji yenu ila wanajua matumbo yao yanahitaji nini wao na watu wao wakaribu pekee.
 
Mfumo wa CCM ni mbaya sana, jamaa mzee wa Uspika na yeye haki ngumu hivi sasa jimbo lake wanaligawana kama vipande vya kanzu.
 
Back
Top Bottom