Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 109
- 286
Bashiru asikilize ,tamko la Mwenyekiti Taifa Chadema , ajiunge Chadema , milango imefunguliwaHii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.
Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Anaweza kugombea udiwani ,akipita akagombea uwenyekiti wa Halmashauri ,Duuu😲😲😲🙄🙄🙄
Hii sasa itakuwa hatari mtu aache Kazi ya jeshini ili ajiunge mgambo !?
Amekosa pesa huyo.Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.
Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Si arudi zake CUF?Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.
Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Ukitoka Kata kemondo unaingia kata kanazi ukimaliza unaingia kata katerero .Kanazi mbona ipo Missenyi ukiwa unaenda Mutukula na sio Bukoba Vijijini?
Anabidi kurudi CUF apokelewe akafanye siasa za Maji baridi.Si arudi zake CUF?
Iko hivi kwa chawa wote na watumwa wa kisii hasa,bora sana uwehuru kuliko kuwa chawa au mtumwa wa wanasiiihasaa.Kwani hata wanasiii hasaa hawajui mahitaji yenu ila wanajua matumbo yao yanahitaji nini wao na watu wao wakaribu pekee.Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.
Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Alisema hatakubali kupokea nafasi nyingine yoyote ile maana hiyo nafasi ilikuwa ni ya juu mno!!Jamaa alivyoteuliwa ukatibu mkuu alisema hatogombea nafasi yoyote tena, ila jamaa atakua na B kadhaa zimetulia sio wa kumuonea huruma hata
Maneno yake yanafanya KaziAlisema hatakubali kupokea nafasi nyingine yoyote ile maana hiyo nafasi ilikuwa ni ya juu mno!!
Umechanganya kati ya Kanazi na Bunazi. Kanazi ipo Bukoba Vijijini. Ukiwa unatokea Bukoba mjini ukifika Kyetema unapandisha Katerero ndipo unafika Kanazi.Kanazi mbona ipo Missenyi ukiwa unaenda Mutukula na sio Bukoba Vijijini?
Utakuwa hujui anacholenga hapo! Hapo wanaangalia Umeya!Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.
Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.