Tetesi: Dr Bashiru kugombea udiwani kata ya Kanazi, Bukoba vijijini.

Umesahau zile story kuwa baada ya mwamba kukata moto Dr aliongoza kupiga pesa BOT so pengine anaitaji kupumzika ale mafao yake tu uko kwao maana kama ukwasi anahisi anao so hana cha kutafuta tena zaidi ya kuishi na jamii yake
 
Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.


Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Sasa afanye kazi gani? Mana akirudi Jalalani ni usumbufu tu. Bora awe katani kwake na wananchi wake ili kumalizia maisha yake. Unajua kuna muda unakubali matokeo ili kuepuka purukushani kubwa kubwa!
 
Bashiru wa pale Yombo - UDSM ni tofauti na Bashiru wa CCM.
Nina hakika hawa wawili wakikutana lazima zipigwe!!
Kuna Bashiru mwingine wa MAPINDUZI UTD! Anapiga mpira kinoma noma, You Know πŸ˜‚ Mie napenda kumuita KIJEBA, You Know πŸ˜‚
 
Kanazi mbona ipo Missenyi ukiwa unaenda Mutukula na sio Bukoba Vijijini?

Kanazi iko Bukoba vijijini Karibu na Kemondo kwa juu, au unaingilia njia ya Kyetema Kuelekea Katerero unaenda hadi Kanazi, barabara hiyo inaenda hadi Katoro, izimbya, Rubale, nyakibimbili, ntoija, kasharu , tungamo, kyamulaile,mwemage, kashabo,nk
 
Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.


Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Sasa si bora astaafu tu kuliko anachotaka kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…