kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
niko kwenu ngongo hapa napata chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado naamini mama ni wa msimu huu tu.Una uhakika Kama Rais Samia ataendelea 2025 kwa 100%?
Ni swali tu
Maana Ungesema kwa majaliwa ya Mungu!
Anaweza akaja rais akapanga WM awe Mwingine
Nimemuona wa kwanza hapo tayari...
Ngoja waje akina Luca, Choice na wafananao...pengine watakuwa na neno kuhusu Sukuma gang!
Mkuu, kweni huyu Bashiru si yule alikuwa Katibu Mkuu CCM ambaye alisema cheo kile cha KM (CCM) ni kikubwa sana kwake na hatapenda kupewa cheo kingine? AU yupi huyo! Ngoja tuoneKaka nipo hapa,sioni Bashiru akiwa makamu kwa sababu zifuatazo.
1.Makuzi yake ndani ya Chama
Bashiru hajakulia chamani aliokotwa tu pale UD akapachikwa na JPM.Kwakua hakukua na uhuru ilibidi wakubali.
2.Kukubalika kwa Bashiru na Samia pamoja na wenyeviti CCM mikoa.
Kutokana na hali ya Chama sasa Samia inabidi apendekeze majina ya watu ambao watapigiwa kura na kamati kuu NEC wale 25.
Hii itamfanya aweze kufanya kazi na watu na tawala za mikoa za kichama.
Bashiru ataleta masuko mkubwa sana kwa Chama.
Lasivyo Chama kitapata shida,Wapo wazee wengi wanao kubalika kichama na heshima yao ni kubwa.Kuna Olesendeka,Anton Dialo,Mwakyembe,Geogre Mkuchika na wengine wengi
Ni hiyo huyo ila Kabla ya kuwa hapo Bashiru alikua CUF na mkufunzi UDSM.Pia alikua mchambuzi mzuri wa siasa za TanzaniaMkuu, kweni huyu Bashiru si yule alikuwa Katibu Mkuu CCM ambaye alisema cheo kile cha KM (CCM) ni kikubwa sana kwake na hatapenda kupewa cheo kingine? AU yupi huyo! Ngoja tuone
OK, kumbe ndio yeye! Nadhani hawezi tena kukubali; maana namuona kama mtu makini ambaye hapendi kutwezwa, lakini lolote linaweza kutokea maana Mwanasiasa kinyonga.Ni hiyo huyo ila Kabla ya kuwa hapo Bashiru alikua CUF na mkufunzi UDSM.Pia alikua mchambuzi mzuri wa siasa za Tanzania
Magu akambeba hivyo hivyo na kumpa cheo watu hawakuweza kuhoji sababu aliendesha chama kwa kauli ya ndio mzee
Alisemaje kumbe?Mtu arekodiwe anamkashifu Rais halaf awe makamu mwenyekiti! Futa hii ndoto
Ngongo kwasasa Harare Ngongo unanikumbusha mambo ya Mzee Tupatupa wa Lumumba.Heshima sana wanajamvi,
Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.
Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.
Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.
Ngongo kwasasa Harare.
👏👏👏Kwani britanicca anasemaje?
Chini ya kapeti kuna vingi hadi mende wafu ni kuwa na makini kinachotokaJF kwa data za chini ya kapeti, kiboko!.
P
Nikukumbushe tu kwamba mwa 2017. JPM Aliwahi kumwonya Ummy Mwalimu kuhusu kusagia Kuguni Doroth Gwajima alipofichua maovu wa wizara ya Afya.Mimi naona Ummy Mwalimu ni waziri Mkuu ajaye. Na atakuwa waziri Mkuu wa kwanza mwanamke Tz.
azima ziingie ktk hiyo nafasi (Mama wa Tanga & Katibu mkuu mstaafishwa)Heshima sana wanajamvi,
Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.
Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.
Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.
Ngongo kwasasa Harare.
Msalimie Mnanangwa.Heshima sana wanajamvi,

Akiteuliwa atakubali ila hapo kwenye kuteuliwa ndio pagumu mazingira sio rafiki kwake,Mama atasusiwa Chama.OK, kumbe ndio yeye! Nadhani hawezi tena kukubali; maana namuona kama mtu makini ambaye hapendi kutwezwa, lakini lolote linaweza kutokea maana Mwanasiasa kinyonga.
Anatakiwa kumvusha mama mengine baadae.Nikikumbuka zile picha za mwanzo mwanzo baada ya Samia kuapishwa kuwa Rais kuna moja Kakurwa alikuwa anamuangalia kwa woga Rais na kuna stori nyuma yake kuwa yeye ndiye alikuwa kinara kupinga asiapishwe, na hii habari kama ni kweli ndiyo uthibisho wa ile kauli kuwa kwenye siasa hakuna adui wa kudumu, bali kuna malengo ya kudumu na malengo ya CCM ni kuendelea kushika dola.
Kwa chini ya capeti sawa ila mdundo wa madam na Dr hauchezeki vinginevyo 1 akubali kuwa ndiyooo mzee na ndyo maana hata ule mdundo wa kijana wa A town ulidum kwa mda ngoma ikabaasiti... huo mdundo Akitaka mama aucheze vzr amrudishe yule mwendapole, then amuachie pass winga wa A town, halafu dr awe hapo kulia ampe pro mrejeshwa, aweke pamba masikioni kama miez 6 nadhani hapo ndip ntakuwa Ameunda njano fc ila hii ya dk za jiooooooon itakuwa kama ya nyekundu DC....JF kwa data za chini ya kapeti, kiboko!.
P
Aaah we huijui CCM kumbe,ukimuona Bashiru pale naacha kujasili siasa za TzKwasasa chama ni mali yake binafsi.
Unajua ile nafasi wa katibu mkuu kiongozi uteuliwa watu wa aina gani? Ingawa akukaa muda mrefu.Kaka nipo hapa,sioni Bashiru akiwa makamu kwa sababu zifuatazo.