Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Wakuu.
Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa.
Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania.
Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu alizozianzisha Dr Bashiru ili kukamata dola
Watu Kama hawa ni watu wenye roho za korosho ambao wapo tayari kuliingiza taifa katika VITA kisa madaraka.
Watz tuungane kumkemea huyu Bashiru na aandikwe Kama muuaji wa demokrasia katika vitabu vya kihistoria .