Dr Bashiru ndo Mwanasiasa anayebidi kulaumiwa kwa kuharibu demokrasia ya Tanzania .

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Wakuu.

Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa.

Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania.

Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu alizozianzisha Dr Bashiru ili kukamata dola

Watu Kama hawa ni watu wenye roho za korosho ambao wapo tayari kuliingiza taifa katika VITA kisa madaraka.

Watz tuungane kumkemea huyu Bashiru na aandikwe Kama muuaji wa demokrasia katika vitabu vya kihistoria .
 
Uchaguzi wa mwaka 2010, wabunge si chini ya 40 wa CCM walipita bila kupingwa.

Uchaguzi wa mwaka 2015, nimesahau idadi ya wagombea ubunge wa CCM waliopita bila kupingwa.

Sema hoja mpya aliyoiasisi B.A.K siyo hiyo ya kupita bila kupingwa.
 
Wakuu.

Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa.

Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania.

Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu alizozianzisha Dr Bashiru ili kukamata dola

Watu Kama hawa ni watu wenye roho za korosho ambao wapo tayari kuliingiza taifa katika VITA kisa madaraka.

Watz tuungane kumkemea huyu Bashiru na aandikwe Kama muuaji wa demokrasia katika vitabu vya kihistoria .
Ametufundisha kuhusu kujizima data,kumbe wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi hata uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, a.k.a unafiki, kwasasa uchawa
 
Back
Top Bottom