No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Huyu mzee namkubali...akiwa chawa wako lazima ujione mwambaAna nata na beat! Ha ha haa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee namkubali...akiwa chawa wako lazima ujione mwambaAna nata na beat! Ha ha haa.
Faru anakodolea tu mishale ya saa inavyo tick tick tick, sijui kama anaweza kuisimamisha!
Lakini kifo si ndiyo njia yetu ya kwenda Mbinguni!? Au wwe hutaki kwenda Mbinguni kwa Baba!!?Hiii imenishangaza sana! Yaani kajengewa "fulu suti"... Mbandambanda flani hivi! Maskini wamekosa hata tofali miatano tu?
Kweli ukifa ndo umekufa!.. Hatimaye Jiwe ndani ya mabati na Nyasi kavu!
Hahahaaaa...........!Ana nata na beat! Ha ha haa.
Mlango wa kwenda mbinguni ni mwembamba mno!Lakini kifo si ndiyo njia yetu ya kwenda Mbinguni!? Au wwe hutaki kwenda Mbinguni kwa Baba!!?
Hakika bwashee!Mlango wa kwenda mbinguni ni mwembamba mno!
Tajiri kuiona pepo ni sawa na ngamia(sio mnyama) kupita kwenye tundu la sindano!
Faru job anamalizia malizia kuandika wosia....kwenye urithi hasiwasahau watoto wa vimada wake nje ya ndoaNa leo Ukienda Chato eti Jiwe kafunikwa tu na matakataka kibao ya nyasi kavu chini ya Kibanda kibovu cha Mabati, zile kelele zake zote kwishaaa
Acheni Mungu aitwe Mungu...bado Faru Job
Mataga hata tent mngesema mmekosa bati tu za temp jamani.....waswahili hamna shukrani sababu midomo hamlipi kodiHata kama no tempo! Dah! Basis wasingeweka mibati kabisa wangeweka Tent tu! Na Yale majani na yenyewe ni tempo?Tusubiri kijani kibichi?
🤣🤣Na leo Ukienda Chato eti Jiwe kafunikwa tu na matakataka kibao ya nyasi kavu chini ya Kibanda kibovu cha Mabati, zile kelele zake zote kwishaaa
Acheni Mungu aitwe Mungu...bado Faru Job
Sawa SUKUMA GANG!Mataga hata tent mngesema mmekosa bati tu za temp jamani.....waswahili hamna shukrani sababu midomo hamlipi kodi
Wewe mataga ndugu zako sukuma gang...sisi ni swahili mob aeamu yetu hii bara visiwani 9 yrs .....Sawa SUKUMA GANG!