Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 894
.....inayomruhusu kuingilia ndoa ya kiongozi mmoja mkubwa wa serikali yetu anayemkingia ubavu na aliyemuhamisha kule kwa Mama Simba?
Au anafikiri hatujui kuwa anajirusha na huyu kigogo? ...
PTTp haya mbona ni mambo ya kawaidaYesu Kristu Maria Na Yosefu, kuna vitu vingine hata kama wewe ni viongozi you cannot be excused hii habari ya kuwa na wafanyakazi wa ndani kutoka nje ya nchi sio sawa. '
hawa Immigration wanajua kubughudhi wale wanaojitahidi kufuata process kwa mfano kwenye kampuni ninayofanya kazi wapo hapa asubuhi mchana jioni ati wanafuatilia wanaofanya kazi bila kibali na kila siku wakija wanaambulia patupu. lakiniwatakapojua kwamba haya yanaendelea hawatajigusa hata.
She came across to me as someone msomi,aliyetulia na mwenye moral standards. The quote above came as a shock to me, but I think we all have our baggages. But objectively,Vipi utendaji wake wa kazi?[/QUOTE]
Hata mimi niko interested na hilo.
Kwa sababu inaonekana siku hizi suala la " Xriss Xross " marriages limekuwa la kawaida katika nyanja zote.
But objectively,Vipi utendaji wake wa kazi?
Eti "inayomruhusu kuingilia ndoa ya kiongozi mmoja mkubwa wa serikali yetu anayemkingia ubavu na aliyemuhamisha kule kwa Mama Simba?" ... Kumbeee!! ... Ndiyo maana siku ile Dr. Batilda anaapishwa akiwa na mtoto kulitokea minong'ono kuwa ni "mshikaji kwa mshikaji"! Hapo tena kuna wakutia neno juu ya vitendo hivyo vya kuwanyanyasa mabinti za watu. Mungu atawanusuru.

Je ana bwana huyu mama?
Huyu mama sijui kama ameolewa, ila shujaa wa bunge anayejirusha naye najua kuwa ana mke, tena wa zaidi ya miaka 20!