Dr. Batilda Salha Buriani unayafanya haya kwanini?

ha ha ha
kumbe mzee wa ndege ipaayoooo. Mhhhhh
turudi kwenye issue kuwa ni hatu gani itakayoweza kuchukuliwa ili awajibishwe kama ni kweli amemnyanyasa mtumishi wake?
 
Namba ya simu imetolewa. Nadhani tuna waandishi wa habari among our midst. Mhe. apigiwe simu na apewe nafasi ya kujibu.

Naona keshachambuliwa vya kutosha. Sasa turudi kwa hoja.
 
 
Namba ya simu imetolewa. Nadhani tuna waandishi wa habari among our midst. Mhe. apigiwe simu na apewe nafasi ya kujibu.
Naona keshachambuliwa vya kutosha. Sasa turudi kwa hoja.

Wakati tukisubiri kama ni jungu au la...
Nafikiri kuna umuhimu wa kuchambua kwaninin hii imetokea.
 
Hii sio Jungu ni kweli alafu mkuu amemvuta sana huyu mama mpaka kwwenye issues za nyumbani kwake huwa naalikwa,hata kamati za wedding za watoto wake huyu mama huwa yupo...kkweli kikulacho kiko...
Kuna kipindi walikolea sana huko arusha mpaka kikakatikia nasikia ilikuwa bonge la issue na mapaparazi walipewa kitu kidogo wakae kimya...hiii ilitokea kabla hajapata huu ukubwa.
 
 
Mkuu,
Sisi Vilaza huwa hatuelewi mpaka jina kamaili limetajwa kwi kwi kwi!!!!!

Ni nani huyo huyo?

As Richmond probe gets hotter: PM`s office back in the limelight

-Minister hastens to deny claims of undue influence on witness testimonies

THISDAY REPORTERS
Dar es Salaam

THE Prime Minister’s Office is at the centre of new allegations suggesting that key government officials were either coached or intimidated prior to giving testimony before a parliamentary committee investigating the Richmond power generation scandal....

Responding to the allegations of witness coaching and intimidation, the Minister of State in the Prime Minister’s Office (Parliamentary Affairs), Dr Batilda Burian, was quick to deny that the PMO has meddled in any way with the work of the parliamentary committee.
 
Na kwa wale ambao mnaangalia bunge sana hili lilopita dada alikuwa akinyanyuka kuongea kuhusu wizara yake wabunge walikuwa wanaguna live....akiongelea issue zinazomhusu ofs ya el,na kupa siku spika alimwambia huyu batilda ni vizuri aje kumtambulisha mumewe ili watu wamjue....baaada ya mh kuanza kupresent budget yake kwa kumshukuru mumewee na watu kuanza kuguna....hiii yote ni data za uhakika.
 

Aliunguruma kweli-kweli, Kanali! Lakini ulewinsky alioufanya hauwezi kulinganishwa na madudu haya ya Waziri na Wafanyakazi. Kuna umuhimu wa kusubiri hiyo phone call ya No Comment!
 
...kule kwa mama simba walishindaniani hadi wakakosana na kuanza kushtakiana juu..??

Mama Sophia, anapenda sana safari za nje ya nchi hata zisizokuwa na sababu kwa taifa, yeye mradi asafiri tu na kukusanya per diem, majuzi tu alikuwa hoi bin taaaaban tena mahututi, lakini sasa hivi alishapona na yuko somewhere US, kwenye safari ya kikazi, sasa huyu mama Burian, alianza kuulizia ulizia hizi safari mbona zinakuwa nyingi mno na alifanya hivyo knowing kuwa ana ubavu wa air, just to find out kuwa Sophia naye ana ubavu wa Muungwana, through mkulu kk, ikabidi huyu mama aondolewe, kule wizara ya kina mama yule mama hui-run kama kampuni yake, na hasa safari zisizokwisha za SA.
 
Dr Batilda Burian, was quick to deny that the PMO has meddled in any way with the work of the parliamentary committee.

Nonesense, huyu mama si ndiye aliyekuwa akiwaita wabunge na kuwaonya kuwa PM hataki ishu ya madini bungeni, waachiwe upinzani tu, sasa anakanusha nini?

Mkuu MMJ, vipi huyu mama hapatikani kwenye mahojiano huko kwako, jamani mtafuteni tumkome nyani!
 
Its true atafutwe mazee hapo tutakamilisha kila kitu.....
 
Mungu anisamehe lakini kwenye viongozi nisiowaamini uwezo wao mimi kama raia wa TZ ni mama Sophia!!! I just believe kuna wengine wengi wanaweza kufanya vizuri zaidi yake... Mwenyezi Mungu aniepushie kama nafanya hivi kwa upendeleo
 
Mungu anisamehe lakini kwenye viongozi nisiowaamini uwezo wao mimi kama raia wa TZ ni mama Sophia!!! I just believe kuna wengine wengi wanaweza kufanya vizuri zaidi yake... Mwenyezi Mungu aniepushie kama nafanya hivi kwa upendeleo


No! Nadhani Uko sahihi.... Its a known truth.., Mbatia ndiye alyekuwa anaibeba wizara!!
 
No! Nadhani Uko sahihi.... Its a known truth.., Mbatia ndiye alyekuwa anaibeba wizara!!

Kumbe ndio maana alikuwa anampiga vita visivyokwisha, mpaka mwishoni akamtumia barua ya kumtishia akiwa safarini na kupelekea kwenye kifo chake, halafu yeye akajifanya amezirai na ghafla kapona sasa yuko kwenye ziara ya kiserikali US, only in bongo!
 
Hapa sijui huyu Judith ndugu aliowahacha Malawi wanafaidika vipi kama Mh. hampi mshahara!!

Kwa Tanzania hizi recommendations zimeliwa maana mwenye dhamani ya kupeleka hayo mapendekezo kwenye chombo cha kutunga sheria ndiye mnyanyasaji namba 1!!

Akinamama JF mpooooo??!! Mziki huo - mtoto wa mwanamke mwenzio ni wako!!
=========================
 

Sadly, yes.
 

Technicaly vifo kama vile.. yaani vya strong, severe crash!! kama kile.. vinafahamika ..kama "suicidal" yaani victim ni kama alichoshwa na jambo fulani..na alitaka kujiondokea..! Kinachobakia ni kutafuta ni jambo gani tu!!!!..tulitafutie muda..tuendelee na Mh Batilda.. i dont think yeye na mh aliyembeba mpaka kumfikisha kwenye nafasi aliyopo..watapona na sakata la richmond...tusibiri tuone..!
 
...watu wa anti human traffic wapo wapi......?? nasikiaga semina tu ..TAMWA???

HUYU binti kuna siku tumepanda naye ndege tukitoka mokoani ajiwa na kichanga chake...like 3 years baby girl..alikuwa peke yake nafikiri akitoka ziara light mkoani,i can relate it was somewhere august..sijui wakati huo akikuwa amekimbiwa na maids wake wote.....maana kwa mtoto wa umri huo ukiwa na maid mzuri unamwacha tu...tena afadhali watoto wa siku hizi enzi zetu ukiwa na mwaka mmoja na nusu ...unakuta tayari mama ana mdogo wako..na wala hana mpango na wewe ..unajikokota tu unajiokoteaga matunda .,wakati wa kula chakula kinawekwa mbele yako unajiliaga...ikifika miaka kumi unaenda kupimishwa mkono uingie la kwanza na bado unakataliwa ..kwani kaumbo kanaonesha bado hata miaka saba hujafika...lakini tumedunda tu..hayo ndio maisha ya watanzania tulio wengi...wakiwemo hawa mnaowaita mawaziri leo...sasa kweli kwa maisha hayo sijui utakuwa naroho gani kunyanyasa mtoto wa mkulima...aliyekuja kufanya kazi kwako kwa kuwa mazo yao yamekopwa na shule ameshindwa kwenda..au amekimbia kuolewa au kukeketwa...huruma hakuna???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…