kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
Mkuu Iselamagazi nakumbuka jamaa aliekewa mizengwe ya kutosha cjui kama hata anaendelea..Labda kwa vile madokta wetu tuna wang'oa macho na kuwatupa msituni. Ndo maana wanashindwa kuonyesha ujuzi.
Si kauliwa na watu wasiopenda maendeleo yetu. Tanzania bila ufisadi hatuwezi kuendelea.Yees, Dr. Ben Carson; ni gwiji ktk mambo ya upasuaji.
Nilishawahi kusoma vitabu vyake kama viwili hivi. Kitabu kimojawapo kina title ya : THINK BIG.
Mkuu kazuramimba, hivi unakumbuka yale yaliyompata yule daktari aliyefungua Taasisi ya Magonjwa ya Moyo?
Si kauliwa na watu wasiopenda maendeleo yetu. Tanzania bila ufisadi hatuwezi kuendelea.
Huyu jamaa ni nouma ktk
mambo ya upasuaji wa watoto walio ungana..amekua akialikwa nchi
mbalimbali kusaidia upasuaji hasa Afrika kusini.Huyu jamaa ni mweusi
kama sisi aliyetokea familia maskini sana ya mzazi mmoja.Najiuliza je
Tanzania tunashindwa kuzalisha watu wa aina hii?? Tunatumia mamilioni ya
shilingi kusomesha watu nje wakirudi wanaishia kutupasua kichwa badala
ya mguu. Je watanzania wenzangu tumekosea wapi?? Wahi tuwe na majanga
kiasi hiki??
usiandike vitu kama hujui..haitwi Carl Benson anaitwa Ben Carson...mkifeli mitihani mnaanza kusema NECTA wamesahisha vibaya ...mitanzania bana sijui mkoje