kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
Huyu jamaa ni nouma ktk mambo ya upasuaji wa watoto walio ungana..amekua akialikwa nchi mbalimbali kusaidia upasuaji hasa Afrika kusini.Huyu jamaa ni mweusi kama sisi aliyetokea familia maskini sana ya mzazi mmoja.Najiuliza je Tanzania tunashindwa kuzalisha watu wa aina hii?? Tunatumia mamilioni ya shilingi kusomesha watu nje wakirudi wanaishia kutupasua kichwa badala ya mguu. Je watanzania wenzangu tumekosea wapi?? Wahi tuwe na majanga kiasi hiki??