johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tupe huo ushahidi mkuuLulu hayupo gerezani, msitufanye sisi wajinga sana tuna ushaidi wa kutosha
Isije kuwa wewe ndio mzushi mwenyewe!Lulu hayupo gerezani, msitufanye sisi wajinga sana tuna ushaidi wa kutosha
Hapa ndio tunapopataka,weka ushahidi mezani,tujue tunaanza na nani,ila angalia tu usije ukaisadia polisi..Lulu hayupo gerezani, msitufanye sisi wajinga sana tuna ushaidi wa kutosha
Atakuambia da mange kasema!Hapa ndio tunapopataka,weka ushahidi mezani,tujue tunaanza na nani,ila angalia tu usije ukaisadia polisi..
Samahani mkuu, adhabu anayotumikia ni ya miaka miwili!Mlezi wa hiyari wa msanii Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha bint yake kuonekana katika viunga vya Kampala Uganda akila bata wakati wa Pasaka. Dr Cheni amewataka waandishi kumtembelea Lulu gerezani ambako watamkuta amejaa tele akiendelea kutumikia adhabu yake ya miaka mitatu gerezani. Source Eatv!
Atakupa ushahidi gani Mtanzania huyo?Tupe huo ushahidi mkuu
Ahsante mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa!Samahani mkuu, adhabu anayotumikia ni ya miaka miwili!
Mlezi wa hiyari wa msanii Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha bint yake kuonekana katika viunga vya Kampala Uganda akila bata wakati wa Pasaka. Dr Cheni amewataka waandishi kumtembelea Lulu gerezani ambako watamkuta amejaa tele akiendelea kutumikia adhabu yake ya miaka mitatu gerezani. Source Eatv!
Kwahiyo walikuwa selo moja!Jamani, mtulia eti kichaa, faruu ndugai anapikia gesi,, na lulu tena eti kaonekana Uganda jamani,,, mbona wale walioenda kumuona mbowe walimkuta dada wa watu amejikalia tu segerea