stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Mlezi wa hiyari wa msanii Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha bint yake kuonekana katika viunga vya Kampala Uganda akila bata wakati wa Pasaka. Dr Cheni amewataka waandishi kumtembelea Lulu gerezani ambako watamkuta amejaa tele akiendelea kutumikia adhabu yake ya miaka mitatu gerezani. Source Eatv!
Mlezi hajui hata muda wakifungo cha mwanae[emoji15]