Dr. Chris Cyrilo: Kwa Upepo huu kama ataondoka CHADEMA utakisomba chama chote siku moja majaribio yote ya kumwita Msaliti yamekwama Lissu ni shujaa tu

tatizo lisu ataua chama.
mi ni mshabiki wa chama na sii mshabiki wa mtu.
nahitaji cdm iwepo
 
Mbowe na wapambe wake wamefanya hii michezo ya fitina na uzushi kwa kila aliyegombea uenyekiti kwa kumwita msaliti kwa muda mrefu sana.
Walisahau kuwa muda ni ukuta na zama za sasa hawawezi kuendeleza ulaghai wao kwa mbinu zilezile.
Kiufupi Mbowe hana agenda yoyote ya maana ya kutufanya tumchague.
 
Hivi team ya Mbowe akina Yericho Nyerere, akina Boni wao wanazungumza lugha nyepesi kuhusu Tundu Lissu? Na kama hawatumwi na Mbowe ni lini Mbowe ameonyesha kutohusika na akina Yericho Nyerere? Kama aliyosema ni kweli basi CHADEMA wajitafakari lakini kama si kweli basi Lissu mumhukumu.

20+ miaka aliyoongoza Mbowe haoni kuwa enough is enough awapishe wengine na awape ushirikiano ili waipeleke CHADEMA mbele? Mbowe na team yake wanaamini bila yeye CHADEMA haiwezi kusonga mbele?

Ninaamini kama Mbowe angekuwa na hekima angesoma alama za nyakati angemuachia Lissu peacefully kukomaa inaashiria kuwa vitu anaficha hataki vije kujulikana
 
Hivi team ya Mbowe akina Yericho Nyerere, akina Boni wao wanazungumza lugha nyepesi kuhusu Tundu Lissu?
wote hao ni hopeless..... Lisu ni mweno, "ameteleza" kuna njia ya kumjibu..... siyo matusi
 
Mtu wa kukibomoa Chadema alikuwa ni Zitto. Zitto wa 2014 kushuka chini. Lissu hajafikia nusu ya Umaarufu na ushawishi aliokuwaga nao ZZK ndani na nje ya Chadema.
Zitto aliwahi kusanya saini bungeni kumng'oa Waziri Mkuu na baraza la mawaziri likavunjwa. 😁
 
Lakini Mbowe kakaa kimya, si kwamba anawatumia?
Sijui, sidhani kama anaweza kuwaumia kutoa matusi... sijui akiwa anafanya hivyo, he is stupid and hopeless. Watumie kutoa hoja nzito na si matusi
 
Hakuna kubembeleza wanafiki na wajasiliamali wa kisiasa.
Lisu kaza hapohapo
 
Kwa kuandika makala ndefu isiyo na mashiko umedhihirisha upunguani wako na uwehu, utaungwa mkono na wehu wenzio. CHADEMA imepata shutuma muda mrefu kuwa ni SACCOS ya Mbowe, kwa miaka zaidi ya 20 ya Mbowe bado nyie wapambe wake mnaona hastahili kuwapisha wengine waongoze?

Mapunguani ni nani kama siyo mnaoamini kuwa Mbowe hastahili kuwapisha wengine, licha ya upepo kuonyesha dhahiri kuwa watu wanataka mabadiliko nyie mmeshupaza shingo kama majuha. Au ni kweli hii SACCOS ya Mbowe?
 
Sijui, sidhani kama anaweza kuwaumia kutoa matusi... sijui akiwa anafanya hivyo, he is stupid and hopeless. Watumie kutoa hoja nzito na si matusi
Inachotakiwa ni muafaka ndani ya chama, swali muhimu ni nini kinachomfanya Mbowe na team kuogopa kuachia madaraka na wakamuunga mkono wasonge mbele? Miaka zaidi ya 20 ya Mbowe haitoshi au kuna kitu wanaogopa kisijulikane? Au kuna nguvu external inayomshawishi asiachie madaraka?

Makosa mengi ya Lissu yanayozungumzwa ni ya kuundwa ili kumzuia asimchallenge Mbowe, kwa nini?
 
Aliropoka nini? Hebu tutajie.
 
Mkuu kwanza hongera kwa kuwa one of the few early elites in Tz


Naelewa kwa profile yako hiyo wewe sio mtu mdogo. Na umeitimikia Nchi vya kutosha.

Jambo pekee umelipunja ni namna ya kujadili maswala ikiwa wewe sio layman.
Ndio maana tuna ku rank level ya chini ya uelewa kumbe unajipunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…