Dr. Chris Cyrilo: Kwa Upepo huu kama ataondoka CHADEMA utakisomba chama chote siku moja majaribio yote ya kumwita Msaliti yamekwama Lissu ni shujaa tu

... tofautisha kati ya:
1) Kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti.
NA
2) Kuomba kupewa uenyekiti!
 
Lowassa (japo hayupo duniani) akasome kwa lissu kwa nyomi atakayoondoka nayo kuelekea atakapotua ila isiwe ccm. Ni nyomi ya kihistoria kuwahi kutokea kwenye chama cha upinzani. Atahama na wanachama na mashabiki zake ambao humpigia kura
 
Bado Lissu hana umaarufu kama aliokuwa nao Dr. Slaa...
Endeleeni kumjaza upepo.
 
Jamaa ana tuhuma kubwa sana za kuvujisha siri za kamati kuu, kama ikithibitika basi naona akipata rungu la kichwa.
 
Lowassa (japo hayupo duniani) akasome kwa lissu kwa nyomi atakayoondoka nayo kuelekea atakapotua ila isiwe ccm. Ni nyomi ya kihistoria kuwahi kutokea kwenye chama cha upinzani. Atahama na wanachama na mashabiki zake ambao humpigia kura
Sahihi
 
... tofautisha kati ya:
1) Kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti.
NA
2) Kuomba kupewa uenyekiti!
Uhalisia unaongea au hisia zako? Mjadala ni nini hapa Lissu na Mbowe kuweka dhamira ya kugombea uenyekiti au la?

Hizo unazoongea ni process za kuingia kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti, utaomba kupewa uenyekiti bila kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti? Bora kukaa kimya kama huna la kusema
 
... Uenyekiti hautolewi bila kuchukua fomu na kwakua zimetolewa fomu kadhaa, sio Moja, basi ni rukhsa yeyote kuchukua pia!
BOKSI LA KURA!
 
... Uenyekiti hautolewi bila kuchukua fomu na kwakua zimetolewa fomu kadhaa, sio Moja, basi ni rukhsa yeyote kuchukua pia!
BOKSI LA KURA!
Nini msingi wa hoja yako? Isiwe tunabishana huyu samaki, mwingine akisema hapana huyu ni somba mwingine hamjui huyu ni kambale huoni sharubu. Mwingine anasema this is fish you peasants.
Just spare me this madness
 
Bado Lissu hana umaarufu kama aliokuwa nao Dr. Slaa...
Endeleeni kumjaza upepo.
Hana umaarufu kumzidi Dr Slaa sawa, Mbowe anao umaarufu kumzidi Tundu Lissu kwa sasa?
 
Siasa za bongo ni wendwazimu mtupu...
 
Tundu Lisu aondoke aende aendako na genge lake, tumechoka kelele zao kila kukicha.

Mtu mzima hana staha anapozungumza, hafikirii madhara anayoleta ndani ya chama anachotaka kukiongoza yeye, na hafikirii ustawi wa wenzake, anajiangalia yeye tu.

Anatafuta huruma, walianza kwa kumtaka Mbowe ajitoe, Ampishe Tundu Lisu, wakasahau misingi ya demokrasia ya kuchaguana, wakaanza kumshambulia Mbowe binafsi, mlevi, mla rushwa, ana chukua wanawake za watu, yani wanawake woote chadema ni vyakula vyake, na utitiri wa shutuma.

Huyu Mtu ni makamu mwenyekiti, ni mwansheria kitaaluma, na ni mtu mzima, anafaaje kuwa mwanchama wa chadema?

Afukuzwe au aondoke na genge lake wakapige kelele huko waendako. Dr.Slaa, na wengine wengi waliondoka wakitaka chadema ife, leo ndio wapiga kelele wakisema hawataki ife.
 
Lissu haepukiki
 
Ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…