Dar Morogoro kweli iko alive??🤣🤣 Dodoma hamfiki Babaa 😪.Is Kenya SGR to Malaba still alive?, hahahahaha, failed state. Felix Tshisekedi has decided to join "Coalition of the winners". He is looking for electrical railway from Kigali to Goma.
Siwezi pata tabu na bajeti ya$30b wacha kinaya ndugu, wewe mwenye hiyo ya $14b ndiye mwenye tabu.mbona unatutukana sana wa tz, ni mkeo ametiwa na mtz au just hate mtandaoni hadi kufikia matusi hivyo.
Na bado. Utapata tabu sana.
Sina undugu na ww baradhuli, umetutukana matusi mengi sana kwa hii thread. Usicatch mafeelings sana, utaishi kwa shida.LDC ni matusi ama ni ukweli Ndugu?
SI wajinga ni wajanja, Kama reli imewashinda kuifikisha hata Morogoro unafukiri watawangoja eti mkamilishe baada ya miaka 15 hivi ndio muwaunganishe?? Kichaa ni nyinyi poor lazy b*st*rds.
Time waits for no King.
Acha uwongo Tanzania has good inflstructure . DRC au Rwanda ili mizigo . Mimi nilikwenda Nairobi via sirari the road is very bad . Small and thin and old. Barabara nzuri nilienda kuiona Nairobi. Wewe kama umefika Tanzania from Dar to all borders kuna tamac roads. Tanzania road network is best in East Africa. Kule North Kenya hakuna inflastructure nzuri.Tan
Tanzania is near DRC lakini Kenya hata Sasa inapitisha mizigo yao zaidi ya Tanzagiza (poor infrastructure) na pia ikumbukwe hata Rwanda wanapitisha mizigo yao via Mombasa Port. Electrified railway na hata Dar yenyewe umeme ni wa mgao, Tz wengi hawana accept ya umeme Nchi ya watu millioni 60 wanagawana megawao 1500 karne hii SI ni ulimbukeni???[emoji57][emoji57][emoji57]
Sasa kusema ukweli Kati yako na Mimi Nani mwenye kucatch feelings? $30b au $14b?Sina undugu na ww baradhuli, umetutukana matusi mengi sana kwa hii thread. Usicatch mafeelings sana, utaishi kwa shida.
49% ya budget yenu ni ya kufadhiliwa na mabeberu au Tena umesahau Jiwe kakiri mwenyewe juzi ?Sisi tunajenga kwa kujifadhili wenyewe ile ya Kenya Mchina kagoma kutoa loan kwa kenya ili kuepusha isije ishia kwenye Chinas dept trap
Tuliza mk#**u".... He is coming here on a State visit in August to launch SGR phase 2A to Naivasha- Narok. The tie-ups are visible and moving forward..."
The day dreaming while hungry is the best form of suicide, stay away from it.