DR Congo applies for admission to East African Community

DR Congo applies for admission to East African Community

Is Kenya SGR to Malaba still alive?, hahahahaha, failed state. Felix Tshisekedi has decided to join "Coalition of the winners". He is looking for electrical railway from Kigali to Goma.
Dar Morogoro kweli iko alive??🤣🤣 Dodoma hamfiki Babaa 😪.
mbona unatutukana sana wa tz, ni mkeo ametiwa na mtz au just hate mtandaoni hadi kufikia matusi hivyo.
Na bado. Utapata tabu sana.
Siwezi pata tabu na bajeti ya$30b wacha kinaya ndugu, wewe mwenye hiyo ya $14b ndiye mwenye tabu.
 
mbona unatutukana sana wa tz, ni mkeo ametiwa na mtz au just hate mtandaoni hadi kufikia matusi hivyo.
Na bado. Utapata tabu sana.
LDC ni matusi ama ni ukweli Ndugu?
 
Sisi tunajenga kwa kujifadhili wenyewe ile ya Kenya Mchina kagoma kutoa loan kwa kenya ili kuepusha isije ishia kwenye Chinas dept trap
SI wajinga ni wajanja, Kama reli imewashinda kuifikisha hata Morogoro unafukiri watawangoja eti mkamilishe baada ya miaka 15 hivi ndio muwaunganishe?? Kichaa ni nyinyi poor lazy b*st*rds.
Time waits for no King.
 
Tan

Tanzania is near DRC lakini Kenya hata Sasa inapitisha mizigo yao zaidi ya Tanzagiza (poor infrastructure) na pia ikumbukwe hata Rwanda wanapitisha mizigo yao via Mombasa Port. Electrified railway na hata Dar yenyewe umeme ni wa mgao, Tz wengi hawana accept ya umeme Nchi ya watu millioni 60 wanagawana megawao 1500 karne hii SI ni ulimbukeni???[emoji57][emoji57][emoji57]
Acha uwongo Tanzania has good inflstructure . DRC au Rwanda ili mizigo . Mimi nilikwenda Nairobi via sirari the road is very bad . Small and thin and old. Barabara nzuri nilienda kuiona Nairobi. Wewe kama umefika Tanzania from Dar to all borders kuna tamac roads. Tanzania road network is best in East Africa. Kule North Kenya hakuna inflastructure nzuri.
 
Wakongo ni watu wazuri sana; hawana ubinafsi sana. I really welcome the move; sijui kwa nini Kabila hakulita zamani sana. Ninaona pole pole Somalia nayo itaomba uanachama hivi karibuni.

On another side, hivi Rwanda ilishaacha kuiba madini ya Coltan kutoka DRC? Kwani hayo ndiyo yalaiyochochhea sana uchumi wa rwanda miaka ya 2000 kabla Umaja wa mataifa haujailingilia kupeleka walinda amani huo.
 
Sina undugu na ww baradhuli, umetutukana matusi mengi sana kwa hii thread. Usicatch mafeelings sana, utaishi kwa shida.
Sasa kusema ukweli Kati yako na Mimi Nani mwenye kucatch feelings? $30b au $14b?
Sisi tunajenga kwa kujifadhili wenyewe ile ya Kenya Mchina kagoma kutoa loan kwa kenya ili kuepusha isije ishia kwenye Chinas dept trap
49% ya budget yenu ni ya kufadhiliwa na mabeberu au Tena umesahau Jiwe kakiri mwenyewe juzi ?
 
".... He is coming here on a State visit in August to launch SGR phase 2A to Naivasha- Narok. The tie-ups are visible and moving forward..."

The day dreaming while hungry is the best form of suicide, stay away from it.
Tuliza mk#**u


"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
 
Back
Top Bottom