DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
soldiers.jpg
Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini.

Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad mwenye umri wa miaka 29 kutoka Kaunti ya Wajir.

Taarifa za Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (FARDC) zimesema shambulio hilo lililotokea karibu na mpaka wa #Uganda liliwaacha takriban watu 39 wakiwa majeruhi.

==================

Congolese authorities are holding a Kenyan suspected to be a member of the proscribed Ugandan terrorist group, Allied Democratic Forces (ADF), and who is said to have masterminded the attack on a church in North Kivu that left 10 people dead on Sunday.

Congolese authorities did not release his name when he was arrested on Sunday, but Kenya's Anti-Terrorism Police Unit (ATPU) on Monday identified him as 29-year-old Abdirizak Muktar Garad, who hails from Wajir County, northern Kenya.

The incident in Kasindi, North Kivu, near the Ugandan border left at least 39 other people injured, according to provisional figures of the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC).

Local FARDC Spokesman Anthony Mualushayi on Sunday said that, after an initial investigations at the scene of the tragedy, a Kenyan was arrested for having links to the planning of the attack now associated with the ADF.

The attack itself had not yet been claimed by any terrorist groups, but the Congolese military linked it to the ADF, the Ugandan terrorist group based in eastern DR Congo, which has in the past attacked villages in DRC and launched attacks in urban areas in Uganda.

The ADF terrorists, most of whom are believed to be of Ugandan origin, operate in North Kivu and Ituri, eastern DRC.

In January 2022, another Kenyan, Salim Rashid Mohamed aka Chotara, was arrested in DRC following months of hunt by Congolese authorities. The DRC security services had then claimed that a network of terrorists had been established in the DRC attracting certain people from across East Africa. Salim and several other suspects were said to have crossed into the DRC via Uganda.

According to the FARDC, the terrorist attack on Sunday perpetrated “in retaliation for the losses these terrorists have suffered in several battlefields against the FARDC.”

The ADF pledged allegiance to the Islamic State organisation in 2019. In a report released in December 2022, UN experts said that these terrorists now operate in small groups and are highly mobile to evade the Congolese army, which has been in a joint operation with the Ugandan army since November 30, 2021 in Ituri and North Kivu.

Immediately after the Sunday attack, the Congolese government and the army urged the civilian population to “be vigilant and avoid gatherings”, with President Félix Tshisekedi promising that “the perpetrators will be prosecuted… and severely punished.”

According to the UN Panel of Experts on the DRC, over the past year, several IED attacks have confirmed that the ADF has opted for more visible and deadly operations, including suicide bombings, relying on a well-established network and operational cells.

This network is reinforced by several terrorists from other countries.

THE EASTAFRICAN
 
Wajukuu wa mudi wakitekereza muongozo wa dini kwa vitendo.
 
Mshukiwa huyo bwana Abdirizak Muktar Garad alikamatwa kama mojawapo wa walioandaa hilo shambulizi kanisani lililoua waumini kumi humo, uchunguzi unaendelea. Shambulizi lilifanywa na kundi la ADF lnalofungamana na lile la IS, yaani Islamic State.................

Congolese authorities are holding a Kenyan suspected to be a member of the proscribed Ugandan terrorist group, Allied Democratic Forces (ADF), and who is said to have masterminded the attack on a church in North Kivu that left 10 people dead on Sunday.

Congolese authorities did not release his name when he was arrested on Sunday, but Kenya's Anti-Terrorism Police Unit (ATPU) on Monday identified him as 29-year-old Abdirizak Muktar Garad, who hails from Wajir County, northern Kenya.

The incident in Kasindi, North Kivu, near the Ugandan border left at least 39 other people injured, according to provisional figures of the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC).

Local FARDC Spokesman Anthony Mualushayi on Sunday said that, after an initial investigations at the scene of the tragedy, a Kenyan was arrested for having links to the planning of the attack now associated with the ADF.

Kwa hio wanamfanyaje wanampika au wanamkaanga?
 
Msichokijua tu ni huyu jamaa ni mnafiki na ana chuki dhidi ya uislam na nyuzi zake zote ni hivi hivi sasa endeleeni kumsikiliza,, huko congo na masuala ya kidini wapi na wapi?? Na huko inajulikana siku zote vita vyao ni vya kisiasa,, yani huyu jamaa hata alivyokufa papa hivi juzi ingekuwa amri yake angesema waislam ndo wamemuua, anachojua yeye ni kashfa na chuki tu dhidi ya uislam,, mwisho kabisa nakuruhusu utukane maana hicho pia ndo unachokijua.
 
Fuatiria kwa undani kuhusu hilo kundi,acha ubishi wakindezi.
 
Fuatiria kwa undani kuhusu hilo kundi,acha ubishi wakindezi.
Hao ni waasi kama walivyo waasi wengine hakuna vita ya kidini congo acha umbulula,, mleta uzi ni mdini na ukibisha fuatlia nyuzi zake... hata pasipohusika na dini lazima aingize udini
 
Kwani hao Allied Democratic Forces (ADF) si ni kikundi kinachodai kutetea itikadi kali ya kidini na kinaungwa mkono na kikundi cha kigaidi cha Isis au hamjui hilo.
 
tusubiri wavaa kobazi wakisema dini ya haki na vifungu vya ahaya kuhusu mtu wao
 
Na hapo hawajachokozwa.Sijui huwa wanawaza nini juu ya Ukristu?
Ni wapinga Kristo wakiongozwa na Mpinga Kristo Mkuu huyo mtume wao.
They are Anti Christ.

1 Yohana 2:22 Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.

Biblia ilisha watambua.

Uwatasikia "inayumnikanaje awe na Mwana hali hana Mke"

Wanamkana Baba na Mwana kwa bidii zote.

Tito 1:12 Mtu wa kwao, nabii wao wenyewe, amesema, Wakrete ni waongo siku zote, hayawani wabaya, walafi wavivu.
 
Back
Top Bottom