DR Congo: Mwanasiasa auawa baada ya kuhamasisha uelewa kuhusu Ebola

DR Congo: Mwanasiasa auawa baada ya kuhamasisha uelewa kuhusu Ebola

EBOLA ni Project ya Marekani Lengo kuwazuiya Wacongomani kufikia baadhi ya maeneo ya Mashariki kuna vizuwizi vingi kutembea Mashariki ya Congo!!!!
 
Kizuwizi cha lazima wapimwe wachunguzwe mizigo yao
Sasa mtu unazigo lako la jiwe unapitaje na jiwe !!

kwenye ukaguzi wakikuta jiwe wanabeba

sasa jifanye kukagua mzigo wako kama jiwe lipo

Wakubebeshe gonjwa la Ebola na kutakiwa kupelekwa kwenye Quarantine kenge maji 😳😳

Wacongo sio wajinga washajua mchongo mzima!!!
 
WAZUNGU kama sio rasilimali za Ulimwengu mwengine kuzitumia kwa maslahi yao

Wazungu wangekuwa ktk Dunia ndio masikini zaidi ✍️
 
Back
Top Bottom