Kizuwizi cha lazima wapimwe wachunguzwe mizigo yao
Sasa mtu unazigo lako la jiwe unapitaje na jiwe !!
kwenye ukaguzi wakikuta jiwe wanabeba
sasa jifanye kukagua mzigo wako kama jiwe lipo
Wakubebeshe gonjwa la Ebola na kutakiwa kupelekwa kwenye Quarantine kenge maji 😳😳
Wacongo sio wajinga washajua mchongo mzima!!!