DR-Congo: Tunataka maelezo kwa Majeshi yaliyoua raia wetu 10 jijini Khartoum

DR-Congo: Tunataka maelezo kwa Majeshi yaliyoua raia wetu 10 jijini Khartoum

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1686043040057.png

Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeitaka Serikali ya Sudan kutoa maelezo kuhusu shambulio hilo lililofanywa katika eneo linalokaliwa na Wananchi wasio na Silaha ikiwemo raia wa kigeni kutoka mataifa mengine na kusababisha majeruhi.

Waziri wa Mambo ya Nje, Christophe Lutundula amesema vifo vyote 10 vimetokea baada ya shambulio lililofanywa na Wanajeshi kwenye majengo ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika kilichopo Khartoum.

Kwa zaidi ya Wiki 7 sasa, Sudan inakabiliwa na Mgogoro wa Madaraka kati ya pande mbili za Majeshi ya Serikali na vikosi vya RSF zinazowania kutawala Serikali. Watu zaidi 1,800 wameuawa kwenye mapigano, wengine zaidi Milioni 1 wamekimbia Nchi.

============

Ten Democratic Republic of Congo citizens have died in Sudanese army strikes on a Khartoum university campus, the Congolese government said on Monday.

Sudan has been mired in a political and humanitarian crisis since mid-April after fighting erupted between the regular army and the paramilitary Rapid Support Forces (RSF).

The capital Khartoum has been an epicentre of the hostilities, with civilians have been caught in the crossfire, including foreigners not already evacuated.

Congolese Foreign Affairs Minister Christophe Lutundula told reporters that bombardment killed 10 DRC nationals on the campus of the International University of Africa in Khartoum on Sunday.

"The strikes, carried out by the regular army on an area occupied by civilian and unarmed populations, including foreign nationals, seriously wounded other compatriots," he added.

Lutundula said he received the charge d'affaires of Sudan's embassy in Kinshasa on Monday to convey "the message of sadness and protest of the government".

"The DRC asked for an explanation of events and measures from the Sudanese government allowing the return of the bodies," he added.

The seven weeks of war between the Sudanese army and the RSF have killed more than 1,800 people and displaced over one million, while multiple ceasefires between the rivals have been broken.

THE EAST AFRICAN
 
Back
Top Bottom