DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji mkuu wa nchi jirani ya Kivu Kaskazini.

Afisa mmoja wa polisi wa Mugote amesema upepo mkali umesababisha boti hiyo kuzama umbali wa kilomita 20 (maili 12) katika safari hiyo.

=========
At least six people died, and dozens are still missing, after a boat capsized in strong winds on Lake Kivu in the eastern Democratic Republic of Congo, local authorities said Monday.

The vessel had been loaded with traders and their goods heading from Mugote in South Kivu province towards Goma, the capital of neighbouring North Kivu.

A Mugote police official said heavy winds had caused the boat to capsize some 20 kilometres (12 miles) into the journey.

Another local official, from South Kivu, said the boat was carrying around 150 passengers, 80 of whom managed to escape.

He said the bodies of three women and three children had been recovered, while the search operation was still ongoing.

The DR Congo has few passable roads, and transport on lakes and rivers is essential for getting around the vast region. However, shipwrecks are common.
 
Back
Top Bottom