DR Congo yaishutumu Rwanda kuisapoti M23 baada ya kutokea mashambulizi makali

Usifananishe urusi na hiyo nchi ya utopolo master.. inayoiba madini kwenye ardhi ya waafrika wenzao
 
Kwann Rwanda wamefanya utoto namna hiyo..Foristance makombora hayo wangehis yametoka tanzania au Kenya je wangepiga hiyo mikombora 20 kuja bongo pasi na kujaribu kujua whats wrong??
Congo walipewa Muda wa kujieleza hayo makombora Ni kwanini FARDC wameyarusha ndani ya Rwanda?walijieleza Nini baada ya kupewa nafasi ya kujitetea?
 
Kwa hizo shutuma, kwani wao Rwanda wanataka nini...zaidi.
 
Congo walipewa Muda wa kujieleza hayo makombora Ni kwanini FARDC wameyarusha ndani ya Rwanda?walijieleza Nini baada ya kupewa nafasi ya kujitetea?
Hapo nimekusoma...ila Rwanda bado hakuonyesha ukomavu kabisaaaaaa kama a civilized state.Sijui huwa anaota vp kuwa na ushawish maziwa makuu kwa namna hiyo ya ku handle mambo
 
Kumbe ndio sababu yule mtawala chuma alifarakana na Jk miaka ile
Jk alimtembezea moto kichizi kipindi kile,
Jwee sio watu,pk wanaiba sana madini congo,uzuri wake anajengea nchi yake vizuri tu..

Hapo Pk anatafuta huruma kwa maza,anajua akiagiza troops Congo??shughuli ya M23 imeisha hiyoo,Jwee sio
 
Kagame alituma ujumbe wake kuja kumkaribisha mama huko Kigali kwny CHOGM,na Waziri huyo wa mambo ya Nje ameenda pia Nchi nyingine kukaribisha marais wa nchi hizo.
Sasa unabishana na mimi? Mimi nipo ndani ya Ikulu ya chamwino yani najua taarifa zote muhimu za wageni wanaoingia . Sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…