Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiKwani iliombwa au iliomba kujiunga
Awali vita nilikuwa naichukulia kitu cha kawaida ila baada ya kupata basic niliipa heshima ni kweli kabisa inataka morali na nidhamu mno kupigana vita. Hao jamaa sidhani kama watakuja kuwaondoa hao waasi. Huwa namkumbuka sana Col. M.M Ndala aliyekuwa kamanda wa 42nd commando battalion ya FARDC kikosi chake ndiyo kiliweza kucheza hasa na M23.Congo DR ni moja ya nchi zenye wanajeshi waoga duniani..Nilishawahi kuona wakipambana na shambulizi moja the way walivyokua wanawakimbia maadui kwa uoga ilikua kichekesho sana kwangu..
Kazi wanayo! 😂Job they have
nilikua naitafuta hii comment. nimewahi kueleza ulichoeleza. PK ni sehemu ndogo sana. matatizo ya Kongo yanasababishwa na mabwanyenye wa nchi yao. matatizo yako ndani. wanajua wanachokifanya ndio maana wanampinga Moise. Moise alidhamiria kumaliza haya matatizo once and for all.una mawazo mazuri ila usidhanie viongoz wa drc hawapend kuwa hivyo ila kuna resistance ndani ya drc , ndani ya congo wapo viongoz na matajiri wanapenda hii situation iliyopo na ndio maana drc haitakuja kutulia hv karibuni , mpk hii generation iliyopo iondoke
Mie ni 'myuzisiee' bho sasa nikufe juu ya nini? Vremaa nyie bantu hamnipendagi.Congo DR ni moja ya nchi zenye wanajeshi waoga duniani..Nilishawahi kuona wakipambana na shambulizi moja the way walivyokua wanawakimbia maadui kwa uoga ilikua kichekesho sana kwangu..