DR Congo yatishia kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Congo DR ni moja ya nchi zenye wanajeshi waoga duniani..Nilishawahi kuona wakipambana na shambulizi moja the way walivyokua wanawakimbia maadui kwa uoga ilikua kichekesho sana kwangu..
Awali vita nilikuwa naichukulia kitu cha kawaida ila baada ya kupata basic niliipa heshima ni kweli kabisa inataka morali na nidhamu mno kupigana vita. Hao jamaa sidhani kama watakuja kuwaondoa hao waasi. Huwa namkumbuka sana Col. M.M Ndala aliyekuwa kamanda wa 42nd commando battalion ya FARDC kikosi chake ndiyo kiliweza kucheza hasa na M23.
Kilichoniumiza zaidi wenzake humo humo wakammaliza.
 
Congo Kuna amani shida hipo eastern congo pale north na south Kivu chanzo ni mkoloni kuweka mipaka vibaya Ile Kivu yote ni Rwanda hata jamii ya pale walikua banyaruanda,hii ndio inapelekea kagame kuleta machafuko
 
nilikua naitafuta hii comment. nimewahi kueleza ulichoeleza. PK ni sehemu ndogo sana. matatizo ya Kongo yanasababishwa na mabwanyenye wa nchi yao. matatizo yako ndani. wanajua wanachokifanya ndio maana wanampinga Moise. Moise alidhamiria kumaliza haya matatizo once and for all.
 
Congo DR ni moja ya nchi zenye wanajeshi waoga duniani..Nilishawahi kuona wakipambana na shambulizi moja the way walivyokua wanawakimbia maadui kwa uoga ilikua kichekesho sana kwangu..
Mie ni 'myuzisiee' bho sasa nikufe juu ya nini? Vremaa nyie bantu hamnipendagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…