Dr Damas Ndumbaro...ni nani?

Dr Damas Ndumbaro...ni nani?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kuna mtu anaeweza kutoa historia kamili ya huyu mtu? Katokea wapi? Kasomea nini?kafikaje hapo?
 
Alisoma Songea Boys,alikuwa wakala wa wachezaji mwenye leseni ya Fifa now ameachana na uwakala.Anafanya kazi Tazara na ni muhadhiri wa sheria chuo kikuu huria
 
Mkuu Ndumbaro hebu njoo jamvini mana najua huwa upo humu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ni kaim mkurugengenzi tazara na ndie alishindwa kusimamia mishahara ya wafanyakazi
 
Ni mwanasheria alisoma udsm,anafanya kazi Tazara,ni wakara anayetambulika na Fifa,na ni mjanjamjanja flani anayejua kujiongezea kipato kupitia anga za kispoti....

Duh! ndio nini hicho? maana wengine haya mambo ya mipira kidogo tuko nyuma.
 
Nimeona hii google, DR. DAMAS NDUMBARO is an ADVOCATE of the High Court of Tanzania and Zanzibar. He has expertise in different areas of law. He possesses a Bachelor of Laws Degree (LL.B) Hons. of The University of Dar Es Salaam ,Masters of Laws (LL.M) of the University of Dar Es Salaam and PhD from the Open University of Tanzania.

nashangaa jamaa ana phd na ana paper mbili tu! Elimu ya bongo aisee!
 
Eti anafundisha out..
 
Mimi nildhani ni mmoja wa washauri wa Mtawala wetu pale magogoni!!
 
wewe hujui mkurugenzi mkuu yupo zambia kaim anakuwa tz
Ah! Si unatujua sisi tusioelewa mambo? Nilidhani kinachokaimiwa (deputised) au kukasimiwa (delegated) ni majukumu (duties) na sio uwajibikaji (responsibility/answerability)!
 
Back
Top Bottom