Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa lugha ya kisheria, hakushindwa kusimamia, kwa sababu yeye alikuwa ni kaim mkurugenzi. Basi alishindwa ku-kaim kusimamia!ni kaim mkurugengenzi tazara na ndie alishindwa kusimamia mishahara ya wafanyakazi
Kwa lugha ya kisheria, hakushindwa kusimamia, kwa sababu yeye alikuwa ni kaim mkurugenzi. Basi alishindwa ku-kaim kusimamia!
Ni mwanasheria alisoma udsm,anafanya kazi Tazara,ni wakara anayetambulika na Fifa,na ni mjanjamjanja flani anayejua kujiongezea kipato kupitia anga za kispoti....
Eti anafundisha out..Nimeona hii google, DR. DAMAS NDUMBARO is an ADVOCATE of the High Court of Tanzania and Zanzibar. He has expertise in different areas of law. He possesses a Bachelor of Laws Degree (LL.B) Hons. of The University of Dar Es Salaam ,Masters of Laws (LL.M) of the University of Dar Es Salaam and PhD from the Open University of Tanzania.
nashangaa jamaa ana phd na ana paper mbili tu! Elimu ya bongo aisee!
Hapana! Mimi ni ngumbaro, sina PhD!au wewe ndiye ndumbaro?
aDuh! ndio nini hicho? maana wengine haya mambo ya mipira kidogo tuko nyuma.
a
Nimekosea bi mkubwa ni wakala...asante.
Kwa lugha ya kisheria, hakushindwa kusimamia, kwa sababu yeye alikuwa ni kaim mkurugenzi. Basi alishindwa ku-kaim kusimamia!
Ah! Si unatujua sisi tusioelewa mambo? Nilidhani kinachokaimiwa (deputised) au kukasimiwa (delegated) ni majukumu (duties) na sio uwajibikaji (responsibility/answerability)!wewe hujui mkurugenzi mkuu yupo zambia kaim anakuwa tz
Kuna mtu anaeweza kutoa historia kamili ya huyu mtu? Katokea wapi? Kasomea nini?kafikaje hapo?