Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

Alibeti, ni sawa na wewe ukacheza bahati nasibu ukapata bil 50 afu ukaja kutamba mtaani kwamba una akili.
 
Alibeti, ni sawa na wewe
ukacheza bahati nasibu ukapata bil 50 afu ukaja
kutamba mtaani kwamba una
akili.
Kwahiyo kuweka au kutokuweka lockdown ilikuwa ni sawa na mchezo wa kubet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…