Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dada mmoja mlokole yupo Tegeta. Alikuwa anamsifia Magufuli kuwa kamaliza Corona Tanzania. Mwaka jana mwezi June/Julay mama yake na bibi yake walikufa kwa Corona. Walipishana siku mbili.
Hadi leo hataki kumsikia Magufuli.
Lakini hakufa kwa covidShujaa wa Africa. Aliokoa wenzie yeye akafa?
Stori za abunuasiKuna dada mmoja mlokole yupo Tegeta. Alikuwa anamsifia Magufuli kuwa kamaliza Corona Tanzania. Mwaka jana mwezi June/Julay mama yake na bibi yake walikufa kwa Corona. Walipishana siku mbili.
Hadi leo hataki kumsikia Magufuli.
Abunuasi baba yako Magofool aliyesema Tanzania hamna Corona halafu ikamfyekelea mbali.Stori za abunuasi
Hivi wewe unajuwa maana ya Sacrifice? Huyu Mwendazake alikuwa anaumwa UKIMWI tangu 1990s, then akawa amewekewa pacemaker kwenye mwaka 1992. Mwaka 2010 alikwenda kwa Babu wa kikombe kule Loliondo kutafuta tiba ya UKIMWI.Ukaidi ama ujasiri, he sacrificed his life for us..amefungua njia, sasa ni juu yako wewe kuchagua aina ya kiongozi ambae atasimamia nchi na mali zake zote kwa manufaa ya wote....na ukimtazama machoni, nafsi yako inasema kweli huyu anauchungu na Tanzania....
Kwahio hakupenda kuishi alitaka kufa...Hivi wewe unajuwa maana ya Sacrifice? Huyu Mwendazake alikuwa anaumwa UKIMWI tangu 1990s, then akawa amewekewa pacemaker kwenye mwaka 1992. Mwaka 2010 alikwenda kwa Babu wa kikombe kule Loliondo kutafuta tiba ya UKIMWI.
Hivi mtu write off kama huyu anakuambia ame SCRIFICE maisha na wewe popoma unakubali?? Elimu duni inawafanya mushindwe kuchanganua mambo
Tulia weweKwahio hakupenda kuishi alitaka kufa...
Na mkuu unawapa ujumbe gani kwa waathirika....kwamba wako right off wajilipue au wasubiri kufa hawana maana...
Mkuu shida hauna exposure ya kutosha mimi binafsi nimeandika tafiti nyingi tu maana sahvi data unapata mtandaoni tofauti na zamani mpaka uzurure wee maofisi yote so mtu wa kawaida anaweza fanya tafiti.Acha utoto wewe hv utafiti gani wa kawaida ambao mtu wa kawaida anaweza fanya? Zaidi ya niliosema mm? Pili hv unaweza ficha vifo? hyo midgree yenu inawasaidia nini? Ni watanzania wangapi wana access na MNH tafiti ndogo tu unaweza fanya mwenyewe ww umepoteza ndugu wangapi toka first victim wa corona Tanzania je umeenda misiba mingapi ya majirani au jamaa zako toka Corona ilipotangazwa kulinganisha na miaka mingine NK vifo vilikuwepo kabla ya Corona
Ni kwamba huwezi kutoboa ukiwa na;Kwahio hakupenda kuishi alitaka kufa...
Na mkuu unawapa ujumbe gani kwa waathirika....kwamba wako right off wajilipue au wasubiri kufa hawana maana...
Takwimu hauna unaropoka tu!! Kwa akili hizi ndio maana JIWE ilimuondoaWewe!..
Corona usiifananishe na ukimwi. Wote tumeona duniani huko jinsi ilivyosumbua. Hapa kwetu corona ni kaugonjwa kama mafua tu.
Mungu jatusaidia sana.
Kma beberu ni mbaya basi ni mbaya tu.... Si mnasema wanatuonea wivu!! Sasa kwanini maoni yake mnayakubali?Kwahiyo unataka wawe wanaungwa mkono tu hata kwa mambo ya hovyo?
Kwenye kuondoa hofu YES hapo nampongeza JPM alifanya tusiogope Corona but kujifukiza wasn't a sustainable solution. Bora bajeti ya NIMR ingeongezwa ili nchi iwe na capacity ya kutengeneza chanjo hasa milipuko ikitokea.Na si mbona tulijengwa kimtazamo kwa kuondoa hofu na pia kujifukiza?
Huna akiliKwenye kuondoa hofu YES hapo nampongeza JPM alifanya tusiogope Corona but kujifukiza wasn't a sustainable solution. Bora bajeti ya NIMR ingeongezwa ili nchi iwe na capacity ya kutengeneza chanjo hasa milipuko ikitokea.
Mfano sasa hvi US inapigia chapuo patent zitolewe ili kila nchi iwe na uwezo wa kutengeneza chanjo zao wenyewe kwa kutumia leseni kutoka kampuni husika
Umempa zitto junior jibu lililo sahihi. Tafiti yoyote kuhusu jamii (social science research) hufanyika kwenye kaya (household). Na hata huko Muhimbili ni kuthibitisha kilichopatikana kwenye kaya, mathalani uhakika wa aina ya ugonjwaAcha utoto wewe hv utafiti gani wa kawaida ambao mtu wa kawaida anaweza fanya? Zaidi ya niliosema mm? Pili hv unaweza ficha vifo? hyo midgree yenu inawasaidia nini? Ni watanzania wangapi wana access na MNH tafiti ndogo tu unaweza fanya mwenyewe ww umepoteza ndugu wangapi toka first victim wa corona Tanzania je umeenda misiba mingapi ya majirani au jamaa zako toka Corona ilipotangazwa kulinganisha na miaka mingine NK vifo vilikuwepo kabla ya Corona
Zito junior ni mpuuzi sanaUmempa zitto junior jibu lililo sahihi. Tafiti yoyote kuhusu jamii (social science research) hufanyika kwenye kaya (household). Na hata huko Muhimbili ni kuthibitisha kilichopatikana kwenye kaya, mathalani uhakika wa aina ya ugonjwa
Kwenye vita ya Idd Amini hakuna askari wa kibongo waliokufa? Na je tulishinda au hatukushinda vita?Shujaa wa Africa. Aliokoa wenzie yeye akafa?