Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

Ila cha kushangaza, wale hawabezwi wala kutukanwa.
Sababu walikua na alternative control systems..... Hawakuachia kila kitu. Ni sawa na Kabudi alivyosema eti tunalilia katiba ilihali Uingereza haina written constitution!!!

Ni kwamba kuna mfumo mbadala haimaanishi hakuna kabisa safety measures. So usilinganishe na TZ
 
Utafiti mdogo tu ww ndugu zako wa ngapi wamekufa kutoka 16 Mar 2020 tuliporeport mgonjwa wa kwanza ? Kingine majirani zako wa ngapi wamekufa au umeudhuria misiba mingapi ukilinganisha na miaka iliyopita
Hii nchi ya ajabu sana.... Umewahi fanya utafiti wewe?? Yaani unaenda hoji kuhusu Mortality rate ya ugonjwa fulani eti badala uende kwa mkemia mkuu au katibu mkuu wizara ya afya eti uhoji jirani??

Hizi ndio reasoning za CCM kabisa eti mpka shida ikupate ndio uprove..... Nenda Muhimbili omba takwimu ndio ufanye tafiti objective. Makete kuna UKIMWI zaidi ya 12% ila Pemba ni 1%.... Ssa kwa utafiti wa namna hii kuna mpemba ataamini kuna Ukimwi?
 
Wewe!..

Corona usiifananishe na ukimwi. Wote tumeona duniani huko jinsi ilivyosumbua. Hapa kwetu corona ni kaugonjwa kama mafua tu.

Mungu jatusaidia sana.
 
Kwahiyo Dr.Bell sio beberu tena?? Kesho akija na utafiti kwamba ushoga ni haki sababu ni genetical/hormonal je utaunga mkono??

Acheni unafiki CCM
Kwahiyo unataka wawe wanaungwa mkono tu hata kwa mambo ya hovyo?
 
Wewe!..

Corona usiifananishe na ukimwi. Wote tumeona duniani huko jinsi ilivyosumbua. Hapa kwetu corona ni kaugonjwa kama mafua tu.

Mungu jatusaidia sana.
Kabisa
 
Kama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Huitaji takwimu za vifo kitaifa kujua ukweli wakati unaishi Tanzania. Anza nyumbani kwako, majirani, mtaani na ndugu zako, popote walipo nchini, kupata takwimu ya waliokufa kwa korona
 
Sababu walikua na alternative control systems..... Hawakuachia kila kitu. Ni sawa na Kabudi alivyosema eti tunalilia katiba ilihali Uingereza haina written constitution!!!

Ni kwamba kuna mfumo mbadala haimaanishi hakuna kabisa safety measures. So usilinganishe na TZ

Na si mbona tulijengwa kimtazamo kwa kuondoa hofu na pia kujifukiza?
 
Hii nchi ya ajabu sana.... Umewahi fanya utafiti wewe?? Yaani unaenda hoji kuhusu Mortality rate ya ugonjwa fulani eti badala uende kwa mkemia mkuu au katibu mkuu wizara ya afya eti uhoji jirani??

Hizi ndio reasoning za CCM kabisa eti mpka shida ikupate ndio uprove..... Nenda Muhimbili omba takwimu ndio ufanye tafiti objective. Makete kuna UKIMWI zaidi ya 12% ila Pemba ni 1%.... Ssa kwa utafiti wa namna hii kuna mpemba ataamini kuna Ukimwi?
Acha utoto wewe hv utafiti gani wa kawaida ambao mtu wa kawaida anaweza fanya? Zaidi ya niliosema mm? Pili hv unaweza ficha vifo? hyo midgree yenu inawasaidia nini? Ni watanzania wangapi wana access na MNH tafiti ndogo tu unaweza fanya mwenyewe ww umepoteza ndugu wangapi toka first victim wa corona Tanzania je umeenda misiba mingapi ya majirani au jamaa zako toka Corona ilipotangazwa kulinganisha na miaka mingine NK vifo vilikuwepo kabla ya Corona
 
Dah Tanzania tumepoteza Rais tumebaki na kiongozi tu anaeongoza awamu ya sita lakini kwa akili na mawazo ya awamu ya 4 😢😢😢
Usiwe mpofu kama sio mazuri ya awamu ya nne ungewezaje kua na uchumi wa leo.Basi wachumi wanaweza kukubaliana na mimi kua msingi wa uchumi uliojengwa na awamu ya nne uliiwezesha awamu ya Tano kuja na projects nyingi.Uchumi haujengwa overnight is a process.
 
Hilo ndiyo swali linatakiwa kujibiwa na wote wanaoshabikia propaganda za Mwendazake. Huwezi kuwa na valid conclusion kama huna takwimu zozote za waliokufa
Inasemekana vifo vilivyotokea kwenye janga la Corona...6% ni Covid, 94% walikuwa wanamagonjwa mengine...sasa hao 94% utasema ni Corona?...takwimu zipo ndio maana walifanya maamuzi magumu yakuendelea kuchapa kazi baada yakuweka mambo kwenye mizani nakuchagua fungu lililo jema ....hio ndio faida ya kuwa na Raisi anaeumiza kichwa kutatua changamoto..wazungu wanamuheshimu kwa hili atakumbukwa alivyopambana na hili janga na alivyochallenge vipimo mpaka matumizi ya tiba mbadala...alitupenda watanzania, aliipenda Tanzania kwa dhati kutoka rohoni...RIP JPM
 
Mpumbavu tu yule kaidharau COVID 19 na haikumkopesha kama ilivyomfanya NKURUNZINZA. Wajinga endeleeni kumuita shujaa
 
Kuna dada mmoja mlokole yupo Tegeta. Alikuwa anamsifia Magufuli kuwa kamaliza Corona Tanzania. Mwaka jana mwezi June/Julay mama yake na bibi yake walikufa kwa Corona. Walipishana siku mbili.

Hadi leo hataki kumsikia Magufuli.

Mama yangu amekufa kwa corona na niliwahi kumwambia ajikinge akasema Tanzania hakuna corona Rais kasema!! Kuna watu wenye wamepata taabu kwa kuaminishwa mambo yasiyo ya kweli, moja wapo ni hili la corona!!
 
Dr. Bell - tutajie na nchi ambazo walifanya lockdown na watu wakafa kwa njaa na matatizo mengine ili tuone kwa Tanzania kutofanya lockdown, tuliokoa maisha!! Vinginevo nakuchukulia ni skeptical wa lockdown kama mtu mwingine yeyote na una haki hiyo.

JPM alijua kitu kimoja kwa usahihi. Kwamba uchumi wetu ni wa hali ya chini na sio sa kidigitali. Kazini lazima mtu uwe ofisini. Ukitaka mahitaji lazima uyafuate dukani au sokoni na malipo ni cash! Hatuna online shopping na delivery. Alijua hakuna mfumo wa kudhibiti lockdowns ni mdogo au haupo kabisa. Alijua lockdown ingekuwa ni jina tu!!!! Nimekuwa nchi yenye uchumi kama wetu wakisema wako locked down. Nilichoona ni curfews kuanzia saa 3 usiku mpaka 12 alfajiri!! Nje ya hapo ni changanyikeni tu!!

Pamoja na hayo yote - sio kwamba lockdown haisaidii wengine au ni njia mbaya! Hapa kwetu isingewezekana. Ingeleta mateso! Ndio sababu iliachwa!!

JPM alikana uwepo wa corona kwa hiyo asingeweza kuwa na lockdown - mwandishi amesahau hilo kwa makusudi!!!! Kutoweka lockdown haikuwa huruma yake!!!
 
Na bado mengi hayajasemwa, tutamkumbuka sana shujaa wa kizazi hiki
 
Back
Top Bottom