zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sababu walikua na alternative control systems..... Hawakuachia kila kitu. Ni sawa na Kabudi alivyosema eti tunalilia katiba ilihali Uingereza haina written constitution!!!Ila cha kushangaza, wale hawabezwi wala kutukanwa.
Ni kwamba kuna mfumo mbadala haimaanishi hakuna kabisa safety measures. So usilinganishe na TZ