Dr. David Ndii, The best Kenyan Economist of the Century

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Mimi huwa ninafuatilia sana mazungumzo na kusoma makala za wasomi mbalimbali katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati, lakini katika eneo la uchumi sijawahi kuona mtu yeyote anayemkaribia huyu jamaa.

Haya mazungumzo kuhusu SGR, KQ, LAPSET, Lamu port, kiwango kidogo cha mafuta yaliyogunduliwa Kenya na kutokuwepo kwa umakini wa viongozi wa Kenya katika kuanzisha miradi, aliyasema na kuyapigia kelele sana miaka 4 iliyopita, Leo hii yote aliyosema yametimia.

Sehemu ambayo amenigusa sana ni pale aliposema kwamba "Uwezo wa viongozi wa Kenya katika kujadili kwa undani wanapoanzisha miradi haupo tena, badala yake wanaanzisha kwa mihemuko ya kufuata mkumbo " Flag ship projects ".

Msikilize kwa makini sana, kisha na wewe uweke maoni yako hapa JF.
 
Hutawahi ona wakenya wakileta nyuzi nzuri kama hii 😂😂😂 unafiki wa wakenya ni wa kiwango cha juu.
 
Sema ni mambo yako kufuatilia media za kenya...wacha kujifanya eti unawafuatilia watu km yeye

Mimi huwa ninafuatilia sana mazungumzo na kusoma makala za wasomi mbalimbali katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati, lakini katika eneo la uchumi sijawahi kuona mtu yeyote anayemkaribia huyu jamaa.

Haya mazungumzo kuhusu SGR, KQ, LAPSET, Lamu port, kiwango kidogo cha mafuta yaliyogunduliwa Kenya na kutokuwepo kwa umakini wa viongozi wa Kenya katika kuanzisha miradi, aliyasema na kuyapigia kelele sana miaka 4 iliyopita, Leo hii yote aliyosema yametimia.

Sehemu ambayo amenigusa sana ni pale aliposema kwamba "Uwezo wa viongozi wa Kenya katika kujadili kwa undani wanapoanzisha miradi haupo tena, badala yake wanaanzisha kwa mihemuko ya kufuata mkumbo " Flag ship projects ".

Msikilize kwa makini sana, kisha na wewe uweke maoni yako hapa JF.
 
Endeleeni kumsikiliza Gwiji wa Uchumi katika dunia
 
Nugu! Io interview ni ya 2014/2015. Wapi ya 2019??
 
one in a million of Kenyans, huyu Bwana ni mkweli, na hapa ndio nilianza kumwelewa
DnFEEd6XoAASxAE.jpeg
 
Huyu David Ndii unampenda because he critics kenya, mwambie aongelee about tz utamchukia
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ambaye hana ushabiki na ameshapita hatua ya " primitivity", huwezi kumchukia mtu kama huyu ambaye unazungumza vitu vya ukweli, hata kama vinakugusa wewe moja kwa moja. Hebu msikiliza katika hii video clip aliyozungumza miaka minne iliyopita na ulinganishe kinachotokea sasa Mombasa.
 
Yanayitokea Mombasa, miaka 4 baada ya Maneno ya David Ndii
 
Mimi huwa ninafuatilia sana mazungumzo na kusoma makala za wasomi mbalimbali katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati, lakini katika eneo la uchumi sijawahi kuona mtu yeyote anayemkaribia huyu jamaa.

Haya mazungumzo kuhusu SGR, KQ, LAPSET, Lamu port, kiwango kidogo cha mafuta yaliyogunduliwa Kenya na kutokuwepo kwa umakini wa viongozi wa Kenya katika kuanzisha miradi, aliyasema na kuyapigia kelele sana miaka 4 iliyopita, Leo hii yote aliyosema yametimia.

Sehemu ambayo amenigusa sana ni pale aliposema kwamba "Uwezo wa viongozi wa Kenya katika kujadili kwa undani wanapoanzisha miradi haupo tena, badala yake wanaanzisha kwa mihemuko ya kufuata mkumbo " Flag ship projects ".

Msikilize kwa makini sana, kisha na wewe uweke maoni yako hapa JF.

You consider him the best because he shares your hatred for Kenya?
Idiot.
From the shambles he organised running ODM IT department, his IQ is closer to that of a chicken.
I'm sure you would relate.
 
You know what?, Kenya shall never fight tribalism, corruption and nepotism because of this type attitude. You always stereotype people.

Instead of taking what is coming from a person, you care much about " who is the person.

If a person is from different tribe, political party, or region, you never accept his/her ideas. We Tanzanians are very lucky because we are far above of that stupidity and primitivity.
 
Ya mwaka huu iko wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu yeyote mwenye akili timamu ambaye hana ushabiki na ameshapita hatua ya " primitivity", huwezi kumchukia mtu kama huyu ambaye unazungumza vitu vya ukweli, hata kama vinakugusa wewe moja kwa moja. Hebu msikiliza katika hii video clip aliyozungumza miaka minne iliyopita na ulinganishe kinachotokea sasa Mombasa.
 
Mlimaliza ukabila, lkn mkatengeza kabila moja kuu...CCM[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You know what?, Kenya shall never fight tribalism, corruption and nepotism because of this type attitude. You always stereotype people.

Instead of taking what is coming from a person, you care much about " who is the person.

If a person is from different tribe, political party, or region, you never accept his/her ideas. We Tanzanians are very lucky because we are far above of that stupidity and primitivity.
 
You know what?, Kenya shall never fight tribalism, corruption and nepotism because of this type attitude. You always stereotype people.

Instead of taking what is coming from a person, you care much about " who is the person.

If a person is from different tribe, political party, or region, you never accept his/her ideas. We Tanzanians are very lucky because we are far above of that stupidity and primitivity.

Lol. Like we don't know how your CCM gods treat opposition. Primitive.

Ndii hates Jubilee with a passion. He has never made a single positive comment about the developments.
He is dishonest about most infrastructural projects, because of this hatred.
He analyses every project from his dishonest perspective.
And then he blocks anyone who calls him out on this dishonesty on Twitter.

I lost all respect for him when he led ODM IT dept.,when they faked a report on how the voting systems were hacked.
I'm an IT person so I can tell a faked report when I see one.
They didn't even get the basics right, like generating a report from a different database (MySQL) from the one IEBC was using (Oracle), and software versions almost a decade old.

Once a liar, always a liar.
 
Hahahaha, that's why Kenya shall remain a divided country for ever. I can sense how tribal you are, how Jubilee oriented you are, very unfortunate indeed at this century a person can hate a person based on his tribe or political affiliation.

You what to tell me that because Ndii was IT manager for NASA, his education and Knowledge of Economics is useless. I am sure the same words if spoken by another person who supports Jubilee would support him.

I don't care who speaks, to me what is spoken is what I do care. Stop your primitive thinking and change your attitude now. Kenya suffers from tribalism, corruption and nepotism because of this "MTU WETU" and " Yule si mwenzetu" stupidity.
 
You are just a bongolala fool.
Ndii was NASA strategist in charge of their IT efforts. He was all over the media taking us on tour of their IT centre and telling us of their preparedness.

And the fact that you think I dislike Ndii because of tribe shows how low IQ you are.
You have nothing between your ears. In your simple, bongolala educated head, you can't comprehend that someone can be disliked because of other things not tribe.

Just to show how stupid the guy is, a few days after the election, he went on Twitter with what he said was the real election result.
By his own tally, he said that Raila won.
He did not think that people would manually count the numbers he had just posted. Surprise surprise... Even Ndii's own numbers had Uhuru ahead.

He may not be an IT guru, but for someone to pass himself as an economist, a grasp simple arithmetic should be the bare minimum requirement.

Go see for yourself how dumb the guy is here.

Back
Top Bottom