Dr. Dre ashtakiwa kwa madai ya unyanyasaji wa Mwanasaikolojia wake, adaiwa fidia ya Tsh. Bilioni 27.2

hawa wazungu sasa naona wapo serious kumfilisi mtu black people
Kuna jamaa mmoja black ameongea maneno mazito sana
Amesema uchaguzi unakuja na Blacks kila mahali kwenye mitandao yote ya jamii ilikuwa ni Kamala tu hakuna story zingine
Wazungu wakaona hapa kubadili upepo walianzishe jambo (Pdiddy)
Na wakafanikiwa haswa maana baada ya Sean kukamatwa tu mitandao yote ikaelekeza mjadala wa P Diddy
Anasema huyu muimbaji kesi zake zilikuwa zinajulikana siku nyingi ila hawakufanya kitu mpaka sasa
Nimewaza sana maana kila mmoja wetu anaona jinsi mitandao ilivyomsahau Kamala na Trump kwa mda
 

Kwahiyo wanafanya spinning the same hapa Tanzania wanavyofanya kupitia simba na Yanga.
 
Haswaaaa
Siasa mchezo mbaya sana
Unatengeneza tukio tu
Jay z kuna msemo wake mmoja anasema hivi

"don't follow trend because trend is not you "

Anasema mambo yanoyoendelea katika maisha ikiwa hayakuhusu usijihusanishe nayo.

Mfano hii issue ya P Didy tangia itokee Mimi sijaifatilia maana najua 100& hainuhusi na hata akifungwa au akiachiwa it is OK.

Politics is dirt game.
 
Ni kweli kabisa mkuu unakuwa na amani sana usipocgunguza au kufuatilia yasiokuhusu
Ila kwa kuwa mitandao imetupumbaza unaona mtu anafuatilia sana hata yasio kuwa na faida kwake
Ukweli ndio huo
 
Ni kweli kabisa mkuu unakuwa na amani sana usipocgunguza au kufuatilia yasiokuhusu
Ila kwa kuwa mitandao imetupumbaza unaona mtu anafuatilia sana hata yasio kuwa na faida kwake
Ukweli ndio huo


Ndo hiyo jay z kasema kuftilia habari ambazo hazikuhusu ni "house of sand "
 

Attachments

  • criadormaloka-cor-1711518657302.jpeg
    74.3 KB · Views: 5
Wewe tayari umefatilia umejuaje ana kesi....!?
Au ulioteshwa mkuu...!?
 
Swala la PDiddy maeneo kama Tanzania limejulikana miezi hii, lakini Marekani ni zaidi ya mwaka lilikywa la moto hivihivi na hadi mwaka jana ikavumishwa kuwa ametoroka, mwaka huu tena akaondoka nchini ikasemekana ametoroka.

Alipokamatwa na taarifa kutolewa kwa kina ndiyo likawa maarufu zaidi, na kwa bongo kuna waliokuwa wanalijua vyema tu na hata yule msanii wenu alipoongea kuwa kuna mambo walifanya lakini si ya ku post bado wengi walikuwa usingizini.

Watu waliamka baada ya Diddy kukamatwa na kutangazwa kwamba nyumbani kwake kuna mafuta. Mafuta ndiyo yamepelekea bongo iwe story
 
Na wamelishikilia bango haswa kuhusu msanii wenu 😄
Kutokuwa na ajira mtu anafuatilia kila kitu
 
Hapo narlewa sasa kwanini Dre aliachana na x wake
 
This industry is in a process of remaking itself, re-inventing itself. Kuna mengi hatukuwa tunayajua. Imefika wakati lazima yaachwe. hayawezi kuachwa bila watu kadhaa kuwa ndio mifano.

Wenye hii rangi yangu, tunaweza kuona kama tunaonewa, ila ndio hivyo mambo yanavyofanya kazi. haya mabo ya kufikiri tunaweza kufanya lolote, pasipo kupata madhara yoyote ni kujidanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…