dre bado hajawa billonare bado coz net worth yake kwa sasa itakuwa 738$m so anakuwa richest rapper in the
world,source ya habari Celebrity Net Worth - Richest Rappers, Celebrity Houses and Salary
taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea
Dr Dre ameiuza haki za kampuni na label yake ya BEATS BY DRE kwa Apple kiasi cha Dolla billion 3.2 na kumfanya awe tajiri wa kwanza katika hip hop kutoka west coast!
Taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea.
...not so fast according to Forbes
http://m.tmz.com/#Article/2014/05/09/forbes-dr-dre-billionaire-apple-beats