Dr. Dre - Bilionea wa kwanza mwana hiphop

Dr. Dre - Bilionea wa kwanza mwana hiphop

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,412
taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea

Diddy kaongezewa tena gape lingine..!!
Ndo maisha hayo japo Beats by Dre inamilikiwa na wawili tutegemee majibu
 
Funzo kwa wasanii wa bongo co kutegemea mziki tu ndo uwatoe.
 
Dr Dre ameiuza haki za kampuni na label yake ya BEATS BY DRE kwa Apple kiasi cha Dolla billion 3.2 na kumfanya awe tajiri wa kwanza katika hip hop kutoka west coast!

Dr Dre ameiuza haki za kampuni na label yake ya BEATS BY DRE kwa Apple kiasi cha Dolla billion 3.2 na kumfanya awe tajiri wa kwanza katika hip hop kutoka west coast!
 
Hongera U got money like bankteller the mofu'ck black rockafella been there done that.
 
Haaaahaa Jigga man na Diddy wasahau kumkuta tena huyu Dre maana hata hawamkalibii.
 
Duh jamaa kapiga bingo ndefu balaa,na wa kwetu inatakiwa wawe na malengo ya kimaendeleo,badala ya kushindana kuwabinua akina wema.
 
Taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea.

Aisee ni kweli. Wenzetu wanamahela mengi aisee. Fedha hizo kwa rate ya sasa ya Tsh into USD ni sawa na Tsh 5.28T/- ambazo ni nusu ya mapato au makusanyo yote ya Taifa la Tanzania kwa sasa! Itakumbukwa kuwa bajeti ya Tanzania FY 2014-2015 ni Tsh 10T/- fedha za ndani na kama hizo tena na kufanya kukadiriwa bajet nzima ni Tsh 20T/-! Kuna watu wana mahela jamani! Naamini hata wacheza mpira hakuna hata mmoja atamfikia Dr Dre. Jay Z yeye ana USD 550m/- kama Tsh 900bn/-.
 
Big up Dr.Dre you deserve it maana Back in a Days upo kwenye Game.
 
West coast baby!!!!!! Kiukweli kibongobongo hata PFunk angekuwa mbunifu kidogo kwa talent yake kubwa kama producer angekuwa level nyingine economically....
 
Bongo sijui tatizo exposure.....hebu jiulize kichwa kama Prof Ludigo kiko wapi...?
 
Wanasema happen definition ya lucky iko hivi..

Kwamba lucky happen when preparation meets opportunity" p funk na wengine wa kibongo hawana tu nafasi ila they are awesooome n tight!!
 
Back
Top Bottom