huyo ndio dr dre hana hata tatoo moja mwilini na ana A ya mathematics.
huyo ndio dr dre hana hata tatoo moja mwilini na ana A ya mathematics.
Taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea.
We nani kakudanganya Dre hana tattoo...usilazimishe hivi vitu hauvijui.
kwa sasa Dr. Dre anashika nafasi ya pili kwa dollar $550M nyuma ya Diddy Mwenye $750M. pamoja na kuwa Dre ame share beats na co-founder wake, dili ikikamilika atapata net worth ya $700M. So adding 700+550=$1.125B
HONGERA Dr. Dre.....kiwanda cha Eminem, 50cent na mastar wote wakali uliowatoa....your genius Dre.
Dr Dre ameiuza haki za kampuni na label yake ya BEATS BY DRE kwa Apple kiasi cha Dolla billion 3.2 na kumfanya awe tajiri wa kwanza katika hip hop kutoka west coast!
Khah! Apple wame nunua Beats HEADPHONES.......
View attachment 161525
Source: Apple Set To Buy Dr. Dre's Beats Headphones for $3.2 billion - YabaLeftOnline
copy😡impala, @C6, Varbo, Eiyer, privacy
Ndg hiyo source yako kwa hiyo heading na ulichokiandika vinaendana??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Khah! Apple wame nunua Beats HEADPHONES.......
View attachment 161525
Source: Apple Set To Buy Dr. Dre's Beats Headphones for $3.2 billion - YabaLeftOnline
copy😡impala, @C6, Varbo, Eiyer, privacy
Apple finally announced it has acquired headphone maker Beats Electronic for $3 billion, including $2.6 billion cash up front and approximately $400 million in stock that will vest over time. As part of the deal, Beats co-founders Dr. Dre and Jimmy Iovine will join AppleAAPL +0.96% in undisclosed roles.