Dr. Dre - Bilionea wa kwanza mwana hiphop

Dr. Dre - Bilionea wa kwanza mwana hiphop

Diddy na Jay wasahau tena hapo hawana chao...
 
huyo ndio dr dre hana hata tatoo moja mwilini na ana A ya mathematics.
 
huyo ndio dr dre hana hata tatoo moja mwilini na ana A ya mathematics.

Dr+Dre+Tattoos+Spider+Tattoo+9EQ64ar6Danl.jpg
Screen-shot-2012-04-13-at-11.10.31-AM.png
 
Wakuu...Dr Dre kawa billionaire wa kwanza toka kwenye utamaduni wa Hiphop...Hii ni baada ya deal yake ya Beats by dre na Apple kukamilika..
 
Taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea.

Hi kitu nlijua htc ndio wangelipa bt apple wamewapiga bao so amemuacha mbali sana diddy
 
10365824_439744309496370_584673589895756333_n.jpg

Apple finally announced it has acquired headphone maker Beats Electronic for $3 billion, including $2.6 billion cash up front and approximately $400 million in stock that will vest over time. As part of the deal, Beats co-founders Dr. Dre and Jimmy Iovine will join Apple AAPL +0.96% in undisclosed roles.

dre1.jpg
 
kwa sasa Dr. Dre anashika nafasi ya pili kwa dollar $550M nyuma ya Diddy Mwenye $750M. pamoja na kuwa Dre ame share beats na co-founder wake, dili ikikamilika atapata net worth ya $700M. So adding 700+550=$1.125B

HONGERA Dr. Dre.....kiwanda cha Eminem, 50cent na mastar wote wakali uliowatoa....your genius Dre.
 
celebrity net worth wanakuambia dre not yet a billionare
 
Last edited by a moderator:
Wabongo sasa!! Yaani walichoweza kuiga huko kwa wenzao ni kuvaa milegezo na kushogana tuuu.
 
yo city is the bomb if yo city makes pay throw yo fingerz if u feel ze same way.....
 
10365824_439744309496370_584673589895756333_n.jpg

Apple finally announced it has acquired headphone maker Beats Electronic for $3 billion, including $2.6 billion cash up front and approximately $400 million in stock that will vest over time. As part of the deal, Beats co-founders Dr. Dre and Jimmy Iovine will join AppleAAPL +0.96% in undisclosed roles.

dre1.jpg

Ila hiyo symbol mmmmhhhhh!!!
 
Back
Top Bottom