Dr. Dre - Bilionea wa kwanza mwana hiphop

Dre anatisha ni kama alijitabiria kwenye hits yake been there done that!!
 
Dre nouma. Tangu enz za kina 2pac jamaa bado yupo tena unaweza sema kaanza jana game! Hongera zake bhana!
 
Taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea.

=====================================================


deal is not done
 
Sina tatizo! Angekuwa mzungu ingeniuma sana! Wapokezane hivyo hivyo ndugu zetu hao. Wazungu hii inawauma sana!
 
Kuna clip moja niliona cnn anavyojitapa kuwa billlionea...

Hongera zake....
Product yake iko vizur kuna kila sababu ya apple kuinunua.


T
 


Mkuu, umesahau kuwa Uncle Sam atachukua chake hapo. Kama Dre atapata $700M Uncle Sam atachukua si chini ya $300M hivyo atabakia na $400M. Halafu watu wanasahau kuwa kuna Lawyers na watu wengine waliofanikisha deal hiyo watatakiwa kulipwa hivyo take home itakuwa chini ya $400M.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…