Dr. Dre - Bilionea wa kwanza mwana hiphop

Dr. Dre - Bilionea wa kwanza mwana hiphop

Dre anatisha ni kama alijitabiria kwenye hits yake been there done that!!
 
Taarifa ambazo amezithibitsha mwenyewe Dr. Dre ni kwamba kampuni ya apple wananunua beats by dre kwa dola za kimarekani bilioni 3.2 na kumfanya awe mwana hiphop wa kwanza billionea.

=====================================================


deal is not done
 
Sina tatizo! Angekuwa mzungu ingeniuma sana! Wapokezane hivyo hivyo ndugu zetu hao. Wazungu hii inawauma sana!
 
Kuna clip moja niliona cnn anavyojitapa kuwa billlionea...

Hongera zake....
Product yake iko vizur kuna kila sababu ya apple kuinunua.


T
 
kwa sasa Dr. Dre anashika nafasi ya pili kwa dollar $550M nyuma ya Diddy Mwenye $750M. pamoja na kuwa Dre ame share beats na co-founder wake, dili ikikamilika atapata net worth ya $700M. So adding 700+550=$1.125B

HONGERA Dr. Dre.....kiwanda cha Eminem, 50cent na mastar wote wakali uliowatoa....your genius Dre.


Mkuu, umesahau kuwa Uncle Sam atachukua chake hapo. Kama Dre atapata $700M Uncle Sam atachukua si chini ya $300M hivyo atabakia na $400M. Halafu watu wanasahau kuwa kuna Lawyers na watu wengine waliofanikisha deal hiyo watatakiwa kulipwa hivyo take home itakuwa chini ya $400M.
 
Back
Top Bottom