Dr. Dre, mwenzake wachangia mabilioni

Dr. Dre, mwenzake wachangia mabilioni

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,326
Reaction score
2,506
Kinara wa muziki wa Hip-hop Dr. Dre, ambaye jina lake halisi ni Andre Young, na mjasiliamali wa masuala yanayohusiana na muziki Jimmy Iovine wamechangia kwa pamoja kiasi cha Dollar za Kimerikani $70 million kuanzisha kitivo kipya kwenye Chuo Kikuu cha Southern California, the school imetangazwa jumanne usiku. (rough translation)

Soma zaidi kwa kimombo

My take:
Kwa wale wanaokumbuka enzi huyu Dr. Dre akiwa kijana na jinsi alivyosalia kwenye hili eneo hadi sasa na kuweza kufanya mambo makubwa kama haya wataweza kuwaeleza hawa ‘wavua suruali' na ‘wabana sauti' kuwa fani sio pombe na wasichana tu.

Nawasilisha

460x.jpg
 
[h=1]Dr. Dre, Iovine donate $70M for new USC center[/h]
460x.jpg

FILE-- A June 25, 2010 file photo shows rapper and producer Dr. Dre at the 23rd Annual ASCAP Rhythm & Soul Music Awards in Beverly Hills, Calif. Dr. Dre, whose real name is Andre Young, and music industry entrepreneur Jimmy Iovine have donated a combined $70 million to create a new institute at the University of Southern California, the school announced Tuesday night May 14, 2013. The huge gift from the two who have been music business partners in the past will be used to create the Jimmy Iovine and Andre Young Academy for Arts, Technology and the Business of Innovation. (AP Photo/Dan Steinberg, File)

LOS ANGELES (AP) - Hip-hop mogul Dr. Dre, whose real name is Andre Young, and music industry entrepreneur Jimmy Iovine have donated a combined $70 million to create a new institute at the University of Southern California, the school announced Tuesday night.
The huge gift from the two who have been music business partners in the past will be used to create the Jimmy Iovine and Andre Young Academy for Arts, Technology and the Business of Innovation.
The academy will provide a special four-year program for undergraduates whose interests span several fields from marketing to computer science to visual design and other arts. It will include one-on-one faculty mentoring with professors from programs around the university and interaction with entertainment industry luminaries.
"The vision and generosity of Jimmy Iovine and Andre Young will profoundly influence the way all of us perceive and experience artistic media," USC President C. L. Max Nikias said in a statement. "We are committed to encouraging our students to use their intellectual and creative resources to effect change in all segments of society. Our goal is to ensure that the academy is the most collaborative educational program in the world."
The academy will accept its first class of 25 students in the fall of 2014.
Iovine is the co-founder of Interscope Records, chairman of Interscope Geffen A&M and a mentor on "American Idol."
Dr. Dre is best known as a producer, solo rapper and co-owner of Death Row records. He later started his own record label, Aftermath Entertainment.
 
Jimmy Lovine na Andre Young ni watu niliowafahamu wakiwa pmj kwa muda mrefu saana.
Dre Dre akiwa kama mmiliki wa Aftermath na Lovine akiwa mmiliki wa Interscope.
Pamoja nao alikuwepo mpiga video boora kabisa kwa upande wangu akifahamika kwa jina la Phillip G. Atwell ambaye ndie aliesimamia upigaji picha za video katika Concert kuuubwa kutokea katika ulimwengu wa Hiphop yaani Up In Smoke Tour...

Nawaheshimu watu hao...
 
Hip Hop is Dead when Andre Young akitangulia mbele ya haki.....
 
hah hah haah hapa Bongo ndo Hiphop imedanja...coz mpaka wale manguli wenyewe wamelegeza.
Mixer kwenda kudekea soka na vimwana, salon na vimwana...yaani full kugandana kama ulimi na mate...

Shtuka
 
Jimmy Lovine na Andre Young ni watu niliowafahamu wakiwa pmj kwa muda mrefu saana.
Dre Dre akiwa kama mmiliki wa Aftermath na Lovine akiwa mmiliki wa Interscope.
Pamoja nao alikuwepo mpiga video boora kabisa kwa upande wangu akifahamika kwa jina la Phillip G. Atwell ambaye ndie aliesimamia upigaji picha za video katika Concert kuuubwa kutokea katika ulimwengu wa Hiphop yaani Up In Smoke Tour...

Nawaheshimu watu hao...

dah naona unakumbushia mabata ya smoke tour sio, o yeah thats HIPHOP...kuna show flan hivi alifanya PAC ni among the last shows of him, manyimbo kama HIT EM UP yalifanyiwa perfomance, ebana ilikuwa on stage na watu zaidi ya 30, mzazi usipime was hell, but only funs HIPHOP will adore that.
 
Kinara wa muziki wa Hip-hop Dr. Dre, ambaye jina lake halisi ni Andre Young, na mjasiliamali wa masuala yanayohusiana na muziki Jimmy Iovine wamechangia kwa pamoja kiasi cha Dollar za Kimerikani $70 million kuanzisha kitivo kipya kwenye Chuo Kikuu cha Southern California, the school imetangazwa jumanne usiku. (rough translation)

Soma zaidi kwa kimombo

My take:
Kwa wale wanaokumbuka enzi huyu Dr. Dre akiwa kijana na jinsi alivyosalia kwenye hili eneo hadi sasa na kuweza kufanya mambo makubwa kama haya wataweza kuwaeleza hawa ‘wavua suruali’ na ‘wabana sauti’ kuwa fani sio pombe na wasichana tu.

Nawasilisha

View attachment 93826

mes "Jimmy" Iovine (born March 11, 1953) is an American music producer and entrepreneur, theCo-Founder of Interscope Records and chairman of Interscope Geffen A&M.[SUP][1][/SUP] Iovine is currently developing a digital music subscription service, Daisy, in conjunction with Beats By Dr. Dre, the company he founded with Dr. Dre in 2006.[SUP][2][/SUP] He currently serves as a mentor on American Idol.
 
dah naona unakumbushia mabata ya smoke tour sio, o yeah thats HIPHOP...kuna show flan hivi alifanya PAC ni among the last shows of him, manyimbo kama HIT EM UP yalifanyiwa perfomance, ebana ilikuwa on stage na watu zaidi ya 30, mzazi usipime was hell, but only funs HIPHOP will adore that.

Nainyaka yakhe...
Ilikuwa balaa
 
hiyo Up In smoke Tour hata mie mpenda taarab niliimind Dr Dre usiombe akicolabu na Eminem,pembeni Snoop Dogg,Ice Cube,Xzibit,Warren G ile combination ya West Coast na kuna yule dada mpaka leo sijamjua ni nani ananichanganya hakuonyeshwa uso first nlifikia ni Lil KIm au FoxyBrown but sijui ni nani jamani loo nitegulieni kitedawili hicho.
Pale alikosena hayati 2PAC(R.I.P)
Narudia haitotokea tena
Jimmy Lovine na Andre Young ni watu niliowafahamu wakiwa pmj kwa muda mrefu saana.
Dre Dre akiwa kama mmiliki wa Aftermath na Lovine akiwa mmiliki wa Interscope.
Pamoja nao alikuwepo mpiga video boora kabisa kwa upande wangu akifahamika kwa jina la Phillip G. Atwell ambaye ndie aliesimamia upigaji picha za video katika Concert kuuubwa kutokea katika ulimwengu wa Hiphop yaani Up In Smoke Tour...

Nawaheshimu watu hao...
 
hiyo Up In smoke Tour hata mie mpenda taarab niliimind Dr Dre usiombe akicolabu na Eminem,pembeni Snoop Dogg,Ice Cube,Xzibit,Warren G ile combination ya West Coast na kuna yule dada mpaka leo sijamjua ni nani ananichanganya hakuonyeshwa uso first nlifikia ni Lil KIm au FoxyBrown but sijui ni nani jamani loo nitegulieni kitedawili hicho.
Pale alikosena hayati 2PAC(R.I.P)
Narudia haitotokea tena

Wa kwanza alikuwa MS Toi ambaye aliimba na Ice Cube.
Na Demu wa Mwisho alikuwa Truth Hurt aliyekuja kuwkaribisha Dr Dre, Snoop na DOC kisha wanyamwezi wakatumbukia stejini na Gari then wakaimba nyimbo ya Let me Ride kabla hawajaimba Still Dre ambayo ndio ilikuwa hitimisho.
 
thankx again for clarification
 
Back
Top Bottom