Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Huyo jamaa wa juu yeye huwa hashuki?
Sio hashuki hapitwi akishushwa inamaanisha Jay Z au Dre apate mpunga Over himHuyo jamaa wa juu yeye huwa hashuki?
Diddy.............Maaan!
I love the fact that Curtis is on the top 5 list though...
Ukiwa makini utagundua biashara zao binafsi ndio zinalipa zaidi na zimewafanya wawe kwenye list hivyo kuna somo hapo
Huyo jamaa wa juu yeye huwa hashuki?
Hivi kwenye nyimbo Dre ashawahi funika kwenye mauzo?labda kazi zake za kuproduce na biashara zake nyingine,ila hata hivo tukiangalia kwenye mauzo ya kazi za sanaa mbali na kazi au biashara zingine wanafanya sidhani kama hao wataingia kwenye hata to 10 kwenye mauzo ya mziki

Uyo forbes wamesema atakuwa bilionea muda mfupi ujao
Hii wazungu huwa inawauma sana.