Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
-
- #21
Muziki ulimtoa kias mana ndio producer wa ghali kupita wote kuna wakati kurekodi single kwake ilikua kma $100, 000
Huyu ni kichwa didy aangalie sana mana last year alikua wa tano kma ckosei nw wa pili
Uyo forbes wamesema atakuwa bilionea muda mfupi ujao
Umaarufu wao unaendana na kipato chao,pia wanasugua sana kichwa ktk kuanzisha na kubuni biashara mpya kila siku thus why wapo hapo walipo. Ni funzo kwa Wasanii wetu hapa Bongo na Afrika kwa ujumla.
Hapa bongo wasanii wetu wanasugua sana vichwa ili kuwavua warembo vyupi,huo ndio utajiri wao wanaojivunia kwa sasa.
Last year alikuwa wa kwanza. Alikuwa na $600,000,000 wa pili akawa Jayz.
Mwaka jana forbes walisema didy atakuwa bilionea sababu mwaka jana alizindua na channel yake ya tv
Birdman mzee wa matumizi.
Wanajenga nyumba miaka 6 haimaliziki na kununua magari kwa mdomo, mara wolper kanunua benz cjui domo vx ya 2023model
Kila siku majigambo tu eti ooh ninahela nyingi wakati hawana kitu.
Bro cmb wanatisha wako vizuri pia rickross nae anakuja juu bila shaka top 10 yupo
Hao jamaa wote nawakubali sana;nakumbuka kuna kipindi didy aliumwa ugonjwa wa kukosa usingizi sababu alitumia takribani mwaka mzima anagonga kazi usiku na mchana hivyo akawa kama hana usingizi tena ila ali make mo monet ndo mana yuko juu;
Bro cmb wanatisha wako vizuri pia rickross nae anakuja juu bila shaka top 10 yupo
We unamfahamu mzungu gani rapper? Zaidi ya Emminem na Macklemore.....