Dr Dre Overtakes Jay Z, Becomes Second Richest Rapper In Hip Hop

Dr Dre Overtakes Jay Z, Becomes Second Richest Rapper In Hip Hop

Muziki ulimtoa kias mana ndio producer wa ghali kupita wote kuna wakati kurekodi single kwake ilikua kma $100, 000

Ni kweli kurecord single ni I60,000,000 Tzsh wakati wengine maproducer wakubwa ni mwisho ni 80,000,000 Tzsh kwa single.

Labda uwe kwenye lebo yao utarekod bure lakin mauzo mnagawana kama alivyofanyiwa 50 cent na Dre
 
Huyu ni kichwa didy aangalie sana mana last year alikua wa tano kma ckosei nw wa pili
 
Umaarufu wao unaendana na kipato chao,pia wanasugua sana kichwa ktk kuanzisha na kubuni biashara mpya kila siku thus why wapo hapo walipo. Ni funzo kwa Wasanii wetu hapa Bongo na Afrika kwa ujumla.
 
Hawa watu acha wale maisha aiseee, watapata tu hela zaidi maana alie nacho huongezewa, asie nacho hata kile kidogo hunyanganywa
 
Huyu ni kichwa didy aangalie sana mana last year alikua wa tano kma ckosei nw wa pili

Last year alikuwa wa kwanza. Alikuwa na $600,000,000 wa pili akawa Jayz.

Mwaka jana forbes walisema didy atakuwa bilionea sababu mwaka jana alizindua na channel yake ya tv
 
Umaarufu wao unaendana na kipato chao,pia wanasugua sana kichwa ktk kuanzisha na kubuni biashara mpya kila siku thus why wapo hapo walipo. Ni funzo kwa Wasanii wetu hapa Bongo na Afrika kwa ujumla.

Hapa bongo wasanii wetu wanasugua sana vichwa ili kuwavua warembo vyupi,huo ndio utajiri wao wanaojivunia kwa sasa.
 
Aisee kumbe Bakhrese anaajiriwa kabisa na P.Diddy,,ache ale mtoto mkali km Cassie
 
Hapa bongo wasanii wetu wanasugua sana vichwa ili kuwavua warembo vyupi,huo ndio utajiri wao wanaojivunia kwa sasa.

Wanajenga nyumba miaka 6 haimaliziki na kununua magari kwa mdomo, mara wolper kanunua benz cjui domo vx ya 2023model
 
Hao jamaa wote nawakubali sana;nakumbuka kuna kipindi didy aliumwa ugonjwa wa kukosa usingizi sababu alitumia takribani mwaka mzima anagonga kazi usiku na mchana hivyo akawa kama hana usingizi tena ila ali make mo monet ndo mana yuko juu;
 
Hao jamaa wanapiga kazi sana hivyo wana haki ya kuwa kwa list
 
Bro cmb wanatisha wako vizuri pia rickross nae anakuja juu bila shaka top 10 yupo

Rick ross, Minaj, Drake na other members of YMCMB and MMG except Lil wayne, Hawawez kabisa kumake it kwenye top 10..Rick Ross ana networth ya $35Million, na hajawahi kufkisha album yake yoyote ile PLATNUM tangu aanze music...
 
Back
Top Bottom