Dr Dre Overtakes Jay Z, Becomes Second Richest Rapper In Hip Hop

Hivi ni kwa nini Eminem ata kwenye list ya top 10 hayupo,,,,na ninavyo elewa mimi emnm amekuwa akiongoza mauzo ya album zake kuliko msanii mwngne, , , why?
 
Rick ross, Minaj, Drake na other members of YMCMB and MMG except Lil wayne, Hawawez kabisa kumake it kwenye top 10..Rick Ross ana networth ya $35Million, na hajawahi kufkisha album yake yoyote ile PLATNUM tangu aanze music...

Nilishangaa kusikia wakati lil wayne alipotoka na kuhit ndani ya mwaka alikuwa ametunga nyimbo 77
 
Nilishangaa kusikia wakati lil wayne alipotoka na kuhit ndani ya mwaka alikuwa ametunga nyimbo 77

Wasanii wa Mbele, wanapiga sana kazi, wanakesha sana studio, hela wanazozipata ni haki yao aisee..wanafanya sana kazi na zinawalipa pia..
 
Wasanii wa Mbele, wanapiga sana kazi, wanakesha sana studio, hela wanazozipata ni haki yao aisee..wanafanya sana kazi na zinawalipa pia..

Hebu google utaona Lily Wayne mpaka leo ana nyimbo 945 na kati ya hizo alizofanya mwenyewe bila kushirikisha ni 855.

Hebu niambie bongo ni msanii gani atakuwa amefikisha nyimbo 100.
 
Hebu google utaona Lily Wayne mpaka leo ana nyimbo 945 na kati ya hizo alizofanya mwenyewe bila kushirikisha ni 855.

Hebu niambie bongo ni msanii gani atakuwa amefikisha nyimbo 100.

Dah!!!..Bongo hapa sidhan aisee, kama kuna msanii amefkisha nyimbo 100!!!!..labda kuna watu watakuwa wanajua ila si hatujui...

Ila nadhan sometimes mainstream rap, inambeba sana Weezy, coz hapat tabu ya kuchora sana mistar yenye akil, afu ana uwezo wa kubadilika muda wowote na kwny ngoma yyte..ndo maana inakuwa kaz rahis kwake kuchora ngoma kila siku..Kwani anaangalia tu Audience yake inataka nn kwa wakat huo...

Hapa Bongo japokuwa mainstream rappers ndo wakutosha sahv, lakin uwezo wa kuchora ngoma na kutoa ngoma za kueleweka kila siku hawana..na ndo maana mzik unakufa mapema sana..

Upande mwngne pia wadau walioshikilia huo Mzik wanawaangusha pia..
 
Networth ya weezy n ngapi mana top10 yuko
 
Networth ya weezy n ngapi mana top10 yuko

Weezy ana networth inayocheza around $135million..

Afu sjui kwa nn forbes hawamwekag MASTER P kwenye list zao, coz kwa hela Birdman na 50cents ni cha mtoto kwa huyu jamaa..Master kwenye reports za january this year alikuwa na networth ya $350million aisee...
 
We unamfahamu mzungu gani rapper? Zaidi ya Emminem na Macklemore.....

Sijasema wazungu marapa,nimesema wazungu kwa ujumla wao. Wazungu hawana hulka ya kufurahia mafanikio ya ngozi nyeusi,tambua kuanzia leo hilo.
 
Dr. Dre kilichompa hela nyingi sio mziki,ukimfatilia Dre miaka mi3 iliyopita hata top10 hakuwepo.Kilichompa hela ni biashara yake ya Headphones,product imekubalika kauza sana
 
Dr. Dre kilichompa hela nyingi sio mziki,ukimfatilia Dre miaka mi3 iliyopita hata top10 hakuwepo.Kilichompa hela ni biashara yake ya Headphones,product imekubalika kauza sana

Sawia,wote hao mpunga wao sio mziki,mziki waliutumia kama kianzio.
Didy,,jigger hawaimbii mziki njaa broh.
Wamejongeza sana,,ni wajasiliamali wa kufa mtu.
 
Dr. Dre kilichompa hela nyingi sio mziki,ukimfatilia Dre miaka mi3 iliyopita hata top10 hakuwepo.Kilichompa hela ni biashara yake ya Headphones,product imekubalika kauza sana

sahihi kabisa !

Ukizitaja headphones zenye mdundo wakueleweka ! Za dr dree hazikosekani !
Tukiachana na hizi za 3500/= wanazo copy logo ya Dr dree

Kumbuka kimuziki dre wa kitambo kutusua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…