Victor Nicho
Member
- Mar 27, 2014
- 29
- 1
Hivi ni kwa nini Eminem ata kwenye list ya top 10 hayupo,,,,na ninavyo elewa mimi emnm amekuwa akiongoza mauzo ya album zake kuliko msanii mwngne, , , why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rick ross, Minaj, Drake na other members of YMCMB and MMG except Lil wayne, Hawawez kabisa kumake it kwenye top 10..Rick Ross ana networth ya $35Million, na hajawahi kufkisha album yake yoyote ile PLATNUM tangu aanze music...
Nilishangaa kusikia wakati lil wayne alipotoka na kuhit ndani ya mwaka alikuwa ametunga nyimbo 77
Wasanii wa Mbele, wanapiga sana kazi, wanakesha sana studio, hela wanazozipata ni haki yao aisee..wanafanya sana kazi na zinawalipa pia..
Hebu google utaona Lily Wayne mpaka leo ana nyimbo 945 na kati ya hizo alizofanya mwenyewe bila kushirikisha ni 855.
Hebu niambie bongo ni msanii gani atakuwa amefikisha nyimbo 100.
Even dre has overtaken Jayz!!!!
Its a surprise to me
Dah!!!..Bongo hapa sidhan aisee, kama kuna msanii amefkisha nyimbo 100!!!!..labda kuna watu watakuwa wanajua ila si hatujui...
Ila nadhan sometimes mainstream rap, inambeba sana Weezy, coz hapat tabu ya kuchora sana mistar yenye akil, afu ana uwezo wa kubadilika muda wowote na kwny ngoma yyte..ndo maana inakuwa kaz rahis kwake kuchora ngoma kila siku..Kwani anaangalia tu Audience yake inataka nn kwa wakat huo...
Hapa Bongo japokuwa mainstream rappers ndo wakutosha sahv, lakin uwezo wa kuchora ngoma na kutoa ngoma za kueleweka kila siku hawana..na ndo maana mzik unakufa mapema sana..
Upande mwngne pia wadau walioshikilia huo Mzik wanawaangusha pia..
Networth ya weezy n ngapi mana top10 yuko
We unamfahamu mzungu gani rapper? Zaidi ya Emminem na Macklemore.....
Dr. Dre kilichompa hela nyingi sio mziki,ukimfatilia Dre miaka mi3 iliyopita hata top10 hakuwepo.Kilichompa hela ni biashara yake ya Headphones,product imekubalika kauza sana
Sawia,wote hao mpunga wao sio mziki,mziki waliutumia kama kianzio.
Didy,,jigger hawaimbii mziki njaa broh.
Wamejongeza sana,,ni wajasiliamali wa kufa mtu.
Dr. Dre kilichompa hela nyingi sio mziki,ukimfatilia Dre miaka mi3 iliyopita hata top10 hakuwepo.Kilichompa hela ni biashara yake ya Headphones,product imekubalika kauza sana
Kumbuka kimuziki dre wa kitambo kutusua!Hivi kwenye nyimbo Dre ashawahi funika kwenye mauzo?labda kazi zake za kuproduce na biashara zake nyingine,ila hata hivo tukiangalia kwenye mauzo ya kazi za sanaa mbali na kazi au biashara zingine wanafanya sidhani kama hao wataingia kwenye hata to 10 kwenye mauzo ya mziki
vanila ice,mark mark ha!ha!We unamfahamu mzungu gani rapper? Zaidi ya Emminem na Macklemore.....